Kufanya kazi katika vyombo vya ulinzi na usalama inahitaji uzalendo hasa

Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
10,775
18,651
Asallam Alleykum?

Imagine uko zamu mpakani usiku sana, unahitajika kukagua mambo mengi, muda huohuo unapewa rushwa ya pesa ndefu ambayo ukiikubali unauza taifa lako. Unaikataa halafu unawaweka kizuizini wahusika halafu baadae unasikia wameachiwa huru.

Upo kitaa unaenjoy na wana unaitwa haraka kikosini kwenda kwenye operation ya haraka kusaka majambazi yaliyowashinda wa upande wa pili.

Unaacha demu wako unaingia armory na kuingia ndani ya IVECO tayari ya kusafiri kuzama porini. Unapambana unawatia mbaroni wahalifu baadae mnawakabidhi polisi, baada ya wiki wanaachiwa.

Wapendeni wanajeshi, hao ndiyo wapambania nchi.

Wanadhibiti mengi sana, raia wa kawaida kazi yenu ni kupigania haki.

Nb: Niliachana na mambo ya jeshi na kuwa raia mwema.
 
Nb: niliachana na mambo ya jeshi na kuwa raia mwema.
Hiyo kazi wanajitolea au wanalipwa mshahara? Kwanini isiwe kazi ngumu kwa wakusanya kodi ambao wanaona kabisa wenzao ndio wanalipwa hela nyingi kuliko wao wanaokusanya?

Tumia akili, elewa dhana ya DIVISION OF LABOUR.

Kila kitengo ni muhimu.
 
Training wanazopatiwa zinasaidia sana kuwajenga

Ni waadilifu na watiifu, hata pale inapotokea wakaingia mtegoni ni shetani tuu amewazidi nguvu😂😂😂

Na kuna sehemu ukishaingia kusaliti kiapo ni sawa na kumsaliti na kumkana baba na mama mzazi😎😎

Mungu ibariki Tanzania
 
Asallam Alleykum?
Imagine uko zamu mpakani usiku sana, unahitajika kukagua mambo mengi, muda huohuo unapewa rushwa ya pesa ndefu ambayo ukiikubali unauza taifa lako. Unaikataa halafu unawaweka kizuizini wahusika halafu baadae unasikia wameachiwa huru.

Upo kitaa unaenjoy na wana unaitwa haraka kikosini kwenda kwenye operation ya haraka kusaka majambazi yaliyowashinda wa upande wa pili.

Unaacha demu wako unaingia armory na kuingia ndani ya IVECO tayari ya kusafiri kuzama porini. Unapambana unawatia mbaroni wahalifu baadae mnawakabidhi polisi, baada ya wiki wanaachiwa.

Wapendeni wanajeshi, hao ndiyo wapambania nchi.

Wanadhibiti mengi sana, raia wa kawaida kazi yenu ni kupigania haki.

Nb: niliachana na mambo ya jeshi na kuwa raia mwema.
Obheja baghesh
 
Hiyo kazi wanajitolea au wanalipwa mshahara? Kwanini isiwe kazi ngumu kwa wakusanya kodi ambao wanaona kabisa wenzao ndio wanalipwa hela nyingi kuliko wao wanaokusanya?

Tumia akili, elewa dhana ya DIVISION OF LABOUR.

Kila kitengo ni muhimu.
Hujui lolote! Tulia kaka nchi ina mengi sana.
 
Asallam Alleykum?

Imagine uko zamu mpakani usiku sana, unahitajika kukagua mambo mengi, muda huohuo unapewa rushwa ya pesa ndefu ambayo ukiikubali unauza taifa lako. Unaikataa halafu unawaweka kizuizini wahusika halafu baadae unasikia wameachiwa huru.

Upo kitaa unaenjoy na wana unaitwa haraka kikosini kwenda kwenye operation ya haraka kusaka majambazi yaliyowashinda wa upande wa pili.

Unaacha demu wako unaingia armory na kuingia ndani ya IVECO tayari ya kusafiri kuzama porini. Unapambana unawatia mbaroni wahalifu baadae mnawakabidhi polisi, baada ya wiki wanaachiwa.

Wapendeni wanajeshi, hao ndiyo wapambania nchi.

Wanadhibiti mengi sana, raia wa kawaida kazi yenu ni kupigania haki.

Nb: Niliachana na mambo ya jeshi na kuwa raia mwema.
Uko sahihi jeshi mtu mwenye akili zake na reasoning nzuri utagombana na viongozi wako sana maana you are doing right ila kiongozi wako anafanya kitu kuharibu mlichokifanya
 
SF ni watu simple wengine ni ndugu zetu, waswas wangu ni namna unavyo project hapa kuwa ulikuwa miongoni mwa wachawi.
Usijali bro hata kama na wewe ni SF pia ila kaa utulie utajua tu nnachokisema! SF ni mgawanyo tu wa majukumu
 
Asallam Alleykum?

Imagine uko zamu mpakani usiku sana, unahitajika kukagua mambo mengi, muda huohuo unapewa rushwa ya pesa ndefu ambayo ukiikubali unauza taifa lako. Unaikataa halafu unawaweka kizuizini wahusika halafu baadae unasikia wameachiwa huru.

Upo kitaa unaenjoy na wana unaitwa haraka kikosini kwenda kwenye operation ya haraka kusaka majambazi yaliyowashinda wa upande wa pili.

Unaacha demu wako unaingia armory na kuingia ndani ya IVECO tayari ya kusafiri kuzama porini. Unapambana unawatia mbaroni wahalifu baadae mnawakabidhi polisi, baada ya wiki wanaachiwa.

Wapendeni wanajeshi, hao ndiyo wapambania nchi.

Wanadhibiti mengi sana, raia wa kawaida kazi yenu ni kupigania haki.

Nb: Niliachana na mambo ya jeshi na kuwa raia mwema.
Sio kazi ya kila siku. Tanzania hakuna matata. Msijipe umuhimu sana.
 
Kama Mara tatu tu,walienda wajeshi,, Amboni, kibiti, na kitu Kama Arusha yalitegwa mabomu, na sio Kama wanajeshi wote, huyu kachezea shilingi tu, anajifariji jf.
 
nawachuki jeshi la polisi case yako ni deal kwao, kesi yoyote kabla ya kufika mahakamani ni deal kwao ni kitega uchumi kwao, rushwa rushwa rushwa siwapendi police sina imani na jeshi la polisi ile kazi ni laana sitapenda ndugu yangu ajiunge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom