Recent content by Observer2010

  1. Observer2010

    Zitto Kabwe asimulia alichokutana nacho hospitalini mkewe akijifungua

    Josina Muthemba Machel binti mpambanaji, alikuwa na kansa ya ini na lastly aliugua akiwa Dar es Salaam akapelekwa hospitali ya Muhimbili na kufariki April 7, 1971 then akazikwa makaburi ya Kinondoni.
  2. Observer2010

    Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

    Ukiniletea surveyor akapima na kudeclare maji yanapatikana katika urefu kadhaa, ukaja ukachimba na maji yasipatikane. Je unabeba hiyo liability?
  3. Observer2010

    Canter Tipper Inauzwa Dar

    Spring juu, imported from Japan
  4. Observer2010

    Canter Tipper Inauzwa Dar

    Ahsante kwa kumuweka sawa.
  5. Observer2010

    Canter Tipper Inauzwa Dar

    Inapiga mzigo pande za Kimara.
  6. Observer2010

    Canter Tipper Inauzwa Dar

    Haina tatizo lolote, ipo inatembea. 3.6= 3600 bro.
  7. Observer2010

    Canter Tipper Inauzwa Dar

    Car for sale with following details: Price: Tsh 18 million Make: Mitsubishi canter Condition: Good running, it is on road. Engine type: 4D32 Engine capacity: 3.6cc Registered Tanzania: 2013 (plate number CKU) Location: Dar es Salaam Tanzania Serious buyer, please contact: +255 767 686 122 You...
  8. Observer2010

    Nini maana ya KUDADEKI? Sio tusi?

    Hapo RED, itakuwa kwako kila kitu ni tusi aisee; kula, kulala, kuimba, kusoma, kucheza, kuruka, kulima, kuomba, kusali, kutazama, kutembea, kunywa, kuandika etc etc. Hebu angalia tena ulikuwa unamaanisha nini, otherwise umekurupuka.
  9. Observer2010

    Kisa cha Rik Machar na Salva Kiir Sudan Kusini na kisa cha Zitto na CHADEMA

    Yanayotokea S. Sudan yananifanya nikumbuke moja ya speech mashuhuri ya Mwl. J. K Nyerere kuhusu muungano " ...hakuna Zanzibar nje ya muungano, nje ya muungano kuna sisi Waunguja na wao Wapemba...". Jamaa walivyojiengua Sudan sasa wamekuja gundua wao si Wa South Sudan, bali kila upande una kabila...
  10. Observer2010

    Viongozi wa majuu walienda kuomboleza au kusheherekea S.A??

    Watu hawahuzuniki bali wanasherehekea maisha ya Mzee Mandela. Its time to learn and celebrate life of "one and the only one" Nelson Mandela. The world will never see again the likes of Mandela thats why people are celebrating.
  11. Observer2010

    Samsung Galaxy S4 (clone) nauza kwa laki 3

    Wadau just kupata more clarifications, hv clone ni "smart way" ya kusema s4 fake au za kichina? Au ina maana yake tofauti?
  12. Observer2010

    Toyota Verossa

    Duh, bongo kweli bundesliga
  13. Observer2010

    MTAJI wa ML 50,

    Katika hali ya kawaida na pia in finance theories, bond ndio biashara regarded km yenye risk ndogo kabisa ukilinganisha na biashara zingine, ila kwa kuweka bond kiinua mgongo ni kutafuta unnecessary flustrations na kuyakaribisha mapema magonjwa ya uzeeni especially kwa style ya uendeshaji wa...
  14. Observer2010

    Financial partner anatakiwa

    Tatizo la watanzania wengi tupo very smart wakati wa kuomba mikopo, maneno mengi na kauli nzuri sana ila tukishapata tunatokomea kabisa, simu hazipokelewi, meseji hazijibiwi na hatuonekaniki tena, na hili ndio tatizo linalofanya watu kuwa wagumu sana katika kukopesha na ni tatizo kubwa katika...
  15. Observer2010

    Ndani ya FASTJET...

    Hapo ni baada ya kucancel safari once ndivyo walivyocharge
Back
Top Bottom