Samsung Galaxy S4 (clone) nauza kwa laki 3

Display Screen: 5.0 inch FULL HD Display screen
with 1920×1080 pixels screen resolution
Processor: Media Tek MTK6589 Quad Core
1.2GHz
Operating System: Android Jelly Bean OS version
4.2.1
Memory: 1GB RAM, 8GB of ROM which can be
expanded up to 64GB with TF card slot
Camera: 18.0 MP back with LED Flash and
Autofocus, 5.0 MP Front facing
3G: Yes
DUAL SIM: Yes
Battery Capacity: 2,500 mAh Li-ion Battery
 
kaka hii yangu kioo ni qhd sio full hd kama hio na pia sio dual sim ina line moja vile vidogo vya kukata (mini sim) pia ina processor ya dual core na si quadcore.

vitu vyote nimehakikisha na software maalum na kama mtu atahitaji tutafanya analysis upya.

clone yenye full hd na processor ya octacore inauzwa si chini ya laki 5 huko china mpaka ikija hapa ni laki 6
 
huwez jua zinaweza kuwepo ila sio promise
Join Date : 25th May 2011
Posts : 4,816
Rep Power : 11392
Likes Received1590
Likes Given0

likes given 0

utakuwa na ka ubinafsi yani hujawahi furahishwa na mchango wa member yeyote humu jf toka ujiunge mwaka 2011 !!

Hahahahaaaa....mkuu leo umekumbwa na nini?...itabidi nije unambie kilichokusibu. Si kawaida...hahahahaaaa...!!!
 
Wadau just kupata more clarifications, hv clone ni "smart way" ya kusema s4 fake au za kichina? Au ina maana yake tofauti?
 
Hahaha, kawaida kaka wala haujashikwa! Hizi clone high quality wakati zinaingia zilikuwa laki 6!!! Jamaa mmoja huwa anaenda Korea alininyima kwa laki 5 cash, nikaja kuikamata kwa laki250 brand new, sikukaa nayo hata mwezi nikabadlishana na mtu akanipa iPhone 5 nikamwongezea laki 2!!
Mkuu ukaaji wake na chaji ukoje?
 
kaka hii yangu kioo ni qhd sio full hd kama hio na pia sio dual sim ina line moja vile vidogo vya kukata (mini sim) pia ina processor ya dual core na si quadcore.

vitu vyote nimehakikisha na software maalum na kama mtu atahitaji tutafanya analysis upya.

clone yenye full hd na processor ya octacore inauzwa si chini ya laki 5 huko china mpaka ikija hapa ni laki 6

Jana nilipita Youtube nikakuta kuna clone ya S4 ina line mbili, imekaa kichina zaidi.
 
Join Date : 25th May 2011
Posts : 4,816
Rep Power : 11392
Likes Received1590
Likes Given0

likes given 0

utakuwa na ka ubinafsi yani hujawahi furahishwa na mchango wa member yeyote humu jf toka ujiunge mwaka 2011 !!

HAHAHHAHAH... NGOJA NIMTETEE,JAMAA NILISHAWAHI KUMUULIZA AKANIAMBIA ANATUMIA SIMU,NA KWENYE SIMU HUWEZI GONGA LIKES...
CC:chief-mkwawa
 
Jana nilipita Youtube nikakuta kuna clone ya S4 ina line mbili, imekaa kichina zaidi.

clone zipo nyingi kaka kuna soft inaitwa cpu identifier idownload then eka kwenye hio clone itadetect aina ya processor iliotumia then google hio processor utaona ukaaji wa charge, resolution ya kioo, speed ya processor, gpu na ram.
 
HAHAHHAHAH... NGOJA NIMTETEE,JAMAA NILISHAWAHI KUMUULIZA AKANIAMBIA ANATUMIA SIMU,NA KWENYE SIMU HUWEZI GONGA LIKES...
CC:chief-mkwawa

exactly kaka sio simu tu natumia opera mini hata version ya touch siwez tumia vizuri
 
kila mtu hutumia simu kubrowse vitu vingine pamoja na kusurf jf, kwahiyo never logg in jf kwa kutumia pc toka ajiunge jf! si kweli!!
 
Ni vema kama tukaongelea yanayohusu Thread.
 
kila mtu hutumia simu kubrowse vitu vingine pamoja na kusurf jf, kwahiyo never logg in jf kwa kutumia pc toka ajiunge jf! si kweli!!

kaka kulogin na login ila unakuta mara 1 kwa mwezi au mwezi upite bila kulogin na nikiingia nakuta notification 1000+ inatia hata uvivu kuzifatilia.

then nina mambo mengi sana kaka ukiendekeza jf hutaishi hivyo inabidi upunguze mda wa kuspend kwa kutumia opera.

dakika 30 zinatosha kuandika na kureply jukwaa zima la tech na ukaendelea na mishe nyengine tofauti na pc ambayo ningespend masaa kibao
 
mkuu, naitaji huo mzigo, NIPO MWANZA, please check kama unamtu yeyote unae mwamini huku mwanza niweze fanya biashara au dereva wa bac la kuja mwanza, please mkwawa
 
Wewe mtumie pesa kwa M-Pesa, yeye atatuma kama parcel kwenye mabasi, itafika bila shaka yoyote. chief-mkwawa sidhani kama anaweza kukuzima laki 350, mimi namdhamini. Njia nyingine mnaweza kuwashirikisha mods wa jf, hiyo pesa unaituma kwa mod mmojawapo wanakaa nayo mpaka utapopata mzigo wanamtumia Mkwawa pesa yake!
 
Last edited by a moderator:
kwa wale wanaohitaji samsung galaxy s4 clone zinapatikana kwa bei tajwa zipo kwenye box na ni mpya.

zipo rangi nyeupe na very dark blue kama nyeusi

IMG_20131206_WA0007.jpg

IMG_20131206_WA0005.jpg

brief specs
zinatumia mediatek 1.3ghz dual core
ram 1gb
kioo inch 5

kwenye box utakuta earphone, charger inayotumia usb cable na usb cable yenyewe.

zinatumia line 1 na line yenyewe ni ya kukata.

contact 0715696962

mzigo bado upo chief?
 
kaka kulogin na login ila unakuta mara 1 kwa mwezi au mwezi upite bila kulogin na nikiingia nakuta notification 1000+ inatia hata uvivu kuzifatilia.

then nina mambo mengi sana kaka ukiendekeza jf hutaishi hivyo inabidi upunguze mda wa kuspend kwa kutumia opera.

dakika 30 zinatosha kuandika na kureply jukwaa zima la tech na ukaendelea na mishe nyengine tofauti na pc ambayo ningespend masaa kibao
simu bado zipo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom