wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 286
Hi,mheshimiwa sana ACCOUNT FULL,mimi ni mdau wa usafiri wa anga hapa julius nyerere international airport(lakini sio mfanyakazi wa fast jet),naweza kukujibu kuwa
1.with fast jet,unalipia tu kile unachotumia.nauli unayolipia inakupa siti kwenye ndege pamoja na mzigo wako wa mkononi tu.
2.kama una mzigo wa kuufanyia check in(kupeleka kwenye buti)kuanzia kilo moja hadi ishirini utalipia tsh 8000 tu au dollar 5 za kimarekani.kwa kila kilo inayozidi italipiwa tsh 8000 pia.mfano una mzigo wa kilo 23,kilo 20 za kwanza utalipia 8000 tu na hizo tatu zilizozidi utazilipia tsh 24000,yaan kwa kila kilo elfu nane.
3.fast jet wanachojari wao ni safari tu,mengineyo ni kama anasa.ukitaka vinywaji au chakula utanunua kwa hela yako mfukoni,sio kama ndege zingine wanafanya kama biashara sasa,unakuta unalipia chakula karibu elfu 30000 halafu unachopewa ni viskonzi viwili,chai na kajuice au ka bia kamoja afu ndo nitolee hiyo.(wakati wa kukata ticket huwez jua kama unakata na chakula.hebu jiulize umbali wa saa moja dk 16( hapa na mwanza unataka kula nini?).so kwa ujumla kwa fast jet mengineyo ni kam anasa tu.
4.hiyo walionayo siyo bei ya promosheni kama watu wanavyodhani,hiyo ndiyo bei halisi.nauli ni 32,000/= ,airport tax ni 10000/= na vat ni 1000/=.so,nauli kamili ni 43,000/=dar-mwanza,dar-kilimanjaro and the reverse is true.
NB:IKUMBUKWE KUWA UNAVYOKATA TIKETI MAPEMA KABLA YA SAFARI NDIVYO UTAKAVYOPATA TICKET YA BEI NAFUU.MFANO,NDEGE ZAO ZINABEBA WATU 156,SASA UNAKUTA KWA KILA MRUKO(FLIGHT) KUNA NAFASI 30 ZA BEI YA 32000/=,INAMAANA ZIKISHA JAA HIZO HUTAWEZA KUPATA TICKET KWA BEI HIYO,UTAPATA KWA BEI YA JUU.nadhani nimeelezea vya kutosha labda kama kuna swali mkuu