Observer2010
Senior Member
- Oct 29, 2010
- 195
- 44
Tatizo la watanzania wengi tupo very smart wakati wa kuomba mikopo, maneno mengi na kauli nzuri sana ila tukishapata tunatokomea kabisa, simu hazipokelewi, meseji hazijibiwi na hatuonekaniki tena, na hili ndio tatizo linalofanya watu kuwa wagumu sana katika kukopesha na ni tatizo kubwa katika ufanisi wa wajasiriamali. Kuna watu wachache sana wapo smart katika kurudisha hela ila sidhani kama wanafika watano kati ya mia. Kila kheri mkuu, kama ulivyo smart katika kuomba mkopo uwe smart hivyo hivyo katika kurudisha.