Viongozi wa majuu walienda kuomboleza au kusheherekea S.A??

Baba Wawili 2012

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
413
225

Attachments

 • Helle-Thorning-Schmidt-an-009.jpg
  File size
  26.5 KB
  Views
  470
 • barack obama cameroon na helle.jpg
  File size
  21 KB
  Views
  1,876
 • Obama-and-Helle-Thorning--008.jpg
  File size
  27.5 KB
  Views
  1,739
 • obama and helle.jpg
  File size
  26.6 KB
  Views
  1,712

major mwendwa

JF-Expert Member
Dec 26, 2011
2,288
2,000
mke wa Obama kavimba mbaya,anaogopa asije ibiwa hivihivi
It is a very crucial moment ila anashangaa mchizi ake analeta mapuuza tena gucci mwengine mtu chako bwana huyo mama huwa chamoto kwa Obama we subilia wakirudi room
 

Observer2010

Senior Member
Oct 29, 2010
195
225
Watu hawahuzuniki bali wanasherehekea maisha ya Mzee Mandela. Its time to learn and celebrate life of "one and the only one" Nelson Mandela. The world will never see again the likes of Mandela thats why people are celebrating.
 

Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
19,213
2,000
It is a very crucial moment ila anashangaa mchizi ake analeta mapuuza tena gucci mwengine mtu chako bwana huyo mama huwa chamoto kwa Obama we subilia wakirudi room
Ila si unajua tena ukiwa mke wa public figure,inawezekana hatomuuliza yameishia hapo hapo uwanjani
 

peche luke

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
365
0
Blonde hair zinawapagawisha huko majuu. Kwa heshima aliyoipata Obama leo hii hapo SA lazima achanganyikiwe haamini. Kweli tenda wema uende zako, waTz wenzangu.
 

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,275
2,000
Wa SA wenyewe walikuwa ni ngoma na kuimba na kusherehekea. When you are in Rome...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom