Tukiacha unafiki kuna kitu cha kujifunza hapa kama binadamu na hasa tukiwa ni watanzania, kwa pande zote mbili, kwa mh Rais na kwa upande wa EL . Kukubali na kutambua maamuzi ya wengi, lakini pia si kila nafasi unayoipta kusimama kugongea unaitumia kumtukana na kumshambulia mtu, kwa ajili ya ku...