Mbona Iran haijatuma mwakilishi msibani?

Mbona Iran haijatuma mwakilishi msibani?

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
24,930
Reaction score
44,932
Nashangaa kuona Iran haijatuma muwakilishi msibani kwenye mazishi ya Peres Israel au haya mataifa mawili hayapatani.

Mwenye kujua anisaidie.
 
Kuna faida gani apeleke muakilishi?bora hata asipeleke,hawana mpango wowote hao wauwaji tu dhidi ya wapalestina.
 
Hao waisrael na wafilisti vita yao tangu vizazi na vizazi kwa hiyo haiwezi isha leo au kesho mpaka Mungu awaamue.
Israel ndio walikosea kwa sababu waliambia mwanzo kabisa na Mungu wauweni wote wao na mifugo yao yote angamizeni wao wakakaidi sasa ndo hivyo hao wafilisti kama Mungu alivyonena ishakuwa miba kwa Israel
 
Ahmadinejad aliwakilisha...

Abbas akashikana mkono na Nenyanyau... Wairan wameduwaa hadi Sasa hivi... Kiufupi Israel ndio anaisaidia Palestine kuliko hao wairan wanaodai kuitetea Palestine

Website yao nilijaribu kutafuta habari kama wameweka tokea Ugonjwa wake lakini Hakuna labda leo wataweka ya Abbas kushikana Mikono na Benyamin
 
Hamas slams Abbas for taking part in Peres funeral
Fri Sep 30, 2016 11:7AM
  1. Home
  2. Middle East
  3. Palestine
74c922e3-a413-4f55-9d5e-fffd27942553.jpg

An image grab taken from a handout video released by the Israeli Prime minister's spokesman shows Palestinian Authority’s President Mahmoud Abbas (C-L) shaking hands with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu (R) during the funeral of former Israeli President Shimon Peres in Jerusalem on September 30, 2016. (Photo by AFP)


The Palestinian resistance movement of Hamas has censured President of the Palestinian Authority (PA) Mahmoud Abbas for joining the funeral of former Israeli president Shimon Peres.

Abbas led a Palestinian delegation, including the PA’s chief negotiator Sa’eb Erekat, to the funeral on Friday after Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu approved his request to do so.

The ceremony featured a handshake between Netanyahu and Abbas, who also forwarded condolences to Peres’ family.

Hamas had earlier called on Abbas not to attend the funeral, saying such a step would encourage other Arab parties to normalize relations with Israel and result in disastrous impacts on the Palestinian endeavor to bring about national unity.

“We condemn Abbas’ condolences for Shimon Peres, and consider it disregards the blood of the martyrs and the suffering of the Palestinian people,” the movement had also said.

The Palestinian leader has also come under attack for referring to Peres’ as a “brave” partner for peace by some high-profile figures in Ramallah, who regard the defunct as no more than a “war criminal.”

The Sheba Medical Center in Tel Aviv had pronounced the 93-year-old dead on Wednesday.

1f941ff6-5e8a-40cc-84ae-66e87ef558cb.jpg

Former Israeli president Shimon Peres
Over five decades of politicking, Peres held nearly every major office in the regime’s ranks.

Under Peres’s tenure as president, two full-scale wars were launched against the Israeli-blockaded Gaza Strip, which killed more than 3,700 Palestinians in total.

He, however, slammed as “outrageous” and “one-sided” a United Nations inquiry that blamed Israel for six serious attacks on UN buildings during the first Gaza offensive and said Tel Aviv would not apologize for defending its people.

Residents of Gaza took to the streets on Friday for a "Day of Rage" to coincide with the funeral attended by US President Barack Obama and other leaders of Israel's key supporters.

Separately, Israeli authorities canceled this week’s visit of Palestinians from Hamas-ruled Gaza to the al-Aqsa Mosque in the Tel Aviv-occupied East Jerusalem, saying it would interfere with Peres’ funeral in Jerusalem.
 
Tupo MSIBANI!!

Ngoja tukitoka msibani tutakujibu
 
Hao waisrael na wafilisti vita yao tangu vizazi na vizazi kwa hiyo haiwezi isha leo au kesho mpaka Mungu awaamue.
Israel ndio walikosea kwa sababu waliambia mwanzo kabisa na Mungu wauweni wote wao na mifugo yao yote angamizeni wao wakakaidi sasa ndo hivyo hao wafilisti kama Mungu alivyonena ishakuwa miba kwa Israel
hapa ndipo huwa na[ata shida kuhusu mambo ya dini na Mungu,sasa Mungu ambaye kila kiumbe amekiumba yeye tena kwa mapenzi mazito na upendo wote kwa nini aruhusu hap wafilisti wauwawe na kama kuna vitu waliwaudhi hao waisrael inakuwaje wapewe adhabu wao huku Mungu aliyewaumba mwenye uwezo wote ndio alio wapa uwezo hao wafilisti kuwatenda vibaya waisrael???
huyu Mungu atakuwa na mapungufu makubwa sana
 
Wewe umelaaniwa, naona unafurahia rais wa ufilipino kuua watu utakuwa gaidi wewe. Kwaheri gaidi
Yule Jamaa Kiboko yaani kina Ray C zamani tungekuwa tushawazika..... au Tumuazime kwa miezi mitatu tu atusaidie...!
 
Back
Top Bottom