Mpaka sasa hakuna mtangaza nia aliyeongea ni kwa namna gani atakabiliana na mabadiliko ya tabia Nchi, uchafu unaondelea kukithiri katika miji yetu,kwenye mito, maziwa na kupotea kwa maeneo kijani katika miji mingi kutokana na ujenzi holela.
Ama hili halipo katika Ilani????/
Ama hili halipo katika Ilani????/