Watuhumiwa 19 wa ugaidi Turiani wakamatwa

Watuhumiwa 19 wa ugaidi Turiani wakamatwa

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,957
Reaction score
8,005
Polisi jana waliwakamata watatu na kuwaua watatu, leo wamewaua watatu na kuwakamata wengine na kufikisha 19 kati ya 50 hata hivyo magaidi wameua raia wawili na mmoja walimjeruhi tumboni kwa jambia .

Gari mbili za Polisi kutoka Moro na Tanga zinafanya doria eneo hilo , wananchi wamekimbilia vituo vya Polisi kwa hofu.
 
Navyojua tanzania hakuna gaidi hao ni wezi tu!

Ni lini umesikia gaidi wamefanya mission wakakamatwa?
Gaidi taingia lini kaingia msituni?
 
Majambazi hao....magaidi bongo?

police waache utani!
 
wameonesha mijisu na risasi kwenye mavazi meusi yenye yale maandishi yanayoanzia kulia
 
Ianonekana hao si magaidi wazoefu...mara nyingi hatusikii magaidi wakitembea kwenye kundi kubwa hivyo!
 
magaidi bongo? hao watakuwa majambazi tu na vibaka.
angalieni yale ya garissa, tunisia juzi na huko kuwait na afghan halafu njoo tena useme hao ni magaidi

Sousse, Tunisia (CNN)Tourists fled a Tunisian seaside resort on Saturday, a day after an attack killed at least 38 people and wounded at least 39 others.

A stream of buses quietly ferried out thousands of guests who abruptly ended their beach holidays in the coastal city of Sousse.
ISIS claimed responsibility for the attack that started on the beach outside the Hotel Riu Imperial Marhaba, but it wasn't clear if the Islamist group had any direct role in it.
 
Hivi ile hoja ya Mh. Lema Bungeni juu ya Chagonja na vikundi hivi iliishaje?
 
Navyojua tanzania hakuna gaidi hao ni wezi tu!

Ni lini umesikia gaidi wamefanya mission wakakamatwa?
Gaidi taingia lini kaingia msituni?

Kweli mkuu gaidi anamsumbua USA hadi leo,
 
magaidi bongo? hao watakuwa majambazi tu na vibaka.
angalieni yale ya garissa, tunisia juzi na huko kuwait na afghan halafu njoo tena useme hao ni magaidi

Sousse, Tunisia (CNN)Tourists fled a Tunisian seaside resort on Saturday, a day after an attack killed at least 38 people and wounded at least 39 others.

A stream of buses quietly ferried out thousands of guests who abruptly ended their beach holidays in the coastal city of Sousse.
ISIS claimed responsibility for the attack that started on the beach outside the Hotel Riu Imperial Marhaba, but it wasn't clear if the Islamist group had any direct role in it.

Jana waliingia paris
 
Kova anakaribia kustafu, sasa Ma-Rpc wa mikoa kila kukicha wanabuni matukio na kuonyesha jinsi gani wanaweza kupambana ili tuu waje kumrithi Kova hapa Kanda Maalum.

Tungoje Drama zaidi. Ukibisha wewe ubishani ni kipaji chako.
 
Back
Top Bottom