Recent content by O-man

  1. O-man

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Poleni na majukumu. Nasikitika kuwafahamisha kwamba wakazi wa Kibaha (Mgongelwa) Tanita hatuna maji leo ni siku ya kumi. Nimejaribu njia nyingi za mawasiliano (sijaendo ofisini kwenu) zimefeli. Aidha simu hazipatikani au zinaita bila ya kupokelewa. Hali ni mbaya na inaelekea kuwa mbaya zaidi...
  2. O-man

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau! Mjukuu anagoma kwenda kozi ya unesi na ukunga Dodoma. Anataka kuendelea na kidato cha tano. Nifanyeje?

    Aende chuo kwani hii ni fursa. Form 5 na 6 anaweza kusoma kwa mwaka mmoja baadae.
  3. O-man

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau! Mjukuu anagoma kwenda kozi ya unesi na ukunga Dodoma. Anataka kuendelea na kidato cha tano. Nifanyeje?

    Nimekuelewa! Zama zimebadilika. Nakaza buti ili tuelewane.
  4. O-man

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau! Mjukuu anagoma kwenda kozi ya unesi na ukunga Dodoma. Anataka kuendelea na kidato cha tano. Nifanyeje?

    Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
  5. O-man

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said alifungwa wakati wa Nyerere, asamehewa wakati wa Rais Samia

    Ni kweli, tatizo alilitengeneza mwenyewe, matokeo ndiyo hayo yaliomkuta!
  6. O-man

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

    Duh! Sasa naona waTZ wanaona mbali mno! Hivi huu ulaji tunaupatia dawa gani hasa ili tuutumie muda wetu adhimu kwa mambo chanya? Kwa kauli moja, nini kifanyike sasa !
  7. O-man

    JamiiForums Tanzania The judiciary is supposed and duty bound to protect the rights of citizens who approach its doors to seek justice

    This is very healthy but needs more input from our learned friends!
  8. O-man

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu awajibu wanaomwita msaliti

    Hapa kuna neno. Watanzania kwa sasa tupo njia panda. Mali ni yetu wote, iweje wachache wanufaike, tena kisheria? Nani kapitisha sheria hizi. Yapo mwswali mengi na majibu yake yanaweza kuleta ukakasi usio wa lazima. Serikali ipunguze usiri na iyaanike maovu haya yawe dhambi kwa mwengine ayakaye...
  9. O-man

    JamiiForums Tanzania Bomoa Bomoa ya TANROADS Morogoro Road Dar Es Salaam

    Mimi nashangazwa na kitu moja. Kwa nini watu wanaamua kufanya vitendo viovu kwa kujiweka katika mwamvuli wa kutenda watendayo leo eti kwa manufaa ya baadae?
  10. O-man

    JamiiForums Tanzania Kanusho: Vyeti feki vyafyeka polisi kwa mamia, ni habari ya Uongo

    Kazi ipo! Mpaka askari anapandishwa vyeo na kufikia inspector lazima alikuwa na "sponsor". "sponsor" anasalimika? Karibuni uraiani lakini uwe mpole tu, huna jinsi.
  11. O-man

    JamiiForums Tanzania Msaada tena wanajf : kompyuta yangu imegoma kuconect aina zote za modem!

    Unatumia anti virus ya aina gani? Na modem yako ni ya ina gani? Tatizo linaweza kuwa dogo sana. NIJIBU TUPATE NJIA YA KUPITA.
  12. O-man

    JamiiForums Tanzania Kwa anayoyapitia RC wa Dar kwa sasa bora angejiuzulu

    Mimi napita tu. Mtaa huu mbwa wengi kwelikweli na wakali mno.
  13. O-man

    JamiiForums Tanzania Nilitafuta na nimepata FIGO

    Ni zaidi ya mwaka sasa tangu nimzike mgonjwa wangu. Nawashukuru wote waliomuombea taafif mgojwa huyo. Mungu kapitisha shani yake, alhamdulilahi.
  14. O-man

    JamiiForums Tanzania TAAZIA: Aliyekuwa mwandishi wa RTD, ITV na Redio One, John Marandu afariki dunia

    Mungu amlaze comrade mahala pema. Amin
Back
Top Bottom