Kwa anayoyapitia RC wa Dar kwa sasa bora angejiuzulu

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
wakuu

Ni dhahiri kwa sasa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam anapitia wakati mgumu na wa kihistoria kwake kisiasa na kijamii

kijamii kwa sasa Makonda amepoteza marafiki wengi aliowazoea hapo awali kabla ya kufanya mambo yake bila ya yeye kujua nini matokeo yake
kwa sasa rafiki yake mkuu amebaki ni Magufuli tu, bila shaka hafurahii urafiki huu kwani magufuli sio rika lake

kisiasa na kiutawala, huku ndiko anapitia magumu zaidi kwani amepoteza uaminifu, umakini na kujiamini mbele ya watu anaowasimamia na kuwaongoza
licha ya Magufuli kumpa jeuri, lakini bado hali ni tete kwake kwani anapokuwa kazini kwake huwa yupo mwenyewe pekeyake bila ya kuwa na rais

Kisaikolojia ndio kaathirika zaidi kutokana na mambo aliyoyapitia ikiwemo ubashite, uvamizi wa clouds na kutengwa na wanahabari!
hili la kutengwa na wanahabari kinamuumiza mkuu huyu kwani hapo awali alizoea kuuza sura na kutafuta kiki kwenye vyombo vya habari hata kama hana jambo la msingi yeye alikuwa anahitaji kusikika na kuonekana tu

ukweli waliokushauri kung'ang'ania ofisi walikushauri vibaya, bora ungejiuzulu kwani unayoyapitia sasa yataendelea kukutafuna tu na hutafanya lolote kiutawala na kimaendeleo kwa ujumla
 
Wewe shida yako nini? Endelea na kazi zako kama yeye anavyoendelea na majukumu yake ya kila siku!! Hayo ni matatizo yako si matatizo yake!!

Kazi za mkoa zinaendelea kama kawaida wanaokosa taarifa ni wanainchi si Mkuu wa Mkoa labda kwa media za private lakini kupitia media za Serikali hakuna shida!!

Tatizo lenu bila kumtaja Paul Makonda basi siku haijapita salama!!
 
ila hili chezo walilocheza sasa wametuweza ,hili la wafanyakazi feki wamedisturb equilibrium ya kumdiscuss makonda ,sasa tunajidiscuss wenyewe
wakuu

Ni dhahiri kwa sasa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam anapitia wakati mgumu na wa kihistoria kwake kisiasa na kijamii

kijamii kwa sasa Makonda amepoteza marafiki wengi aliowazoea hapo awali kabla ya kufanya mambo yake bila ya yeye kujua nini matokeo yake
kwa sasa rafiki yake mkuu amebaki ni Magufuli tu, bila shaka hafurahii urafiki huu kwani magufuli sio rika lake

kisiasa na kiutawala, huku ndiko anapitia magumu zaidi kwani amepoteza uaminifu, umakini na kujiamini mbele ya watu anaowasimamia na kuwaongoza
licha ya Magufuli kumpa jeuri, lakini bado hali ni tete kwake kwani anapokuwa kazini kwake huwa yupo mwenyewe pekeyake bila ya kuwa na rais

Kisaikolojia ndio kaathirika zaidi kutokana na mambo aliyoyapitia ikiwemo ubashite, uvamizi wa clouds na kutengwa na wanahabari!
hili la kutengwa na wanahabari kinamuumiza mkuu huyu kwani hapo awali alizoea kuuza sura na kutafuta kiki kwenye vyombo vya habari hata kama hana jambo la msingi yeye alikuwa anahitaji kusikika na kuonekana tu

ukweli waliokushauri kung'ang'ania ofisi walikushauri vibaya, bora ungejiuzulu kwani unayoyapitia sasa yataendelea kukutafuna tu na hutafanya lolote kiutawala na kimaendeleo kwa ujumla
 
Bashite amepoteza ramani sasa hivi master mind wake ni Lemutuz wamepanic wanapost ujinga wako very desperate hebu soma walichopost jana walivyokua nyumbani kwa Bashite
616dd5b3c47965f78b0128db5d6f1323.jpg
babfe68f67ef36bbd74c080614d60fd8.jpg

Nadhani kila post 1 Bashite anamlipa Lemutuz 200k kwasababu media zote zimemsusa.
 
wakuu

Ni dhahiri kwa sasa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam anapitia wakati mgumu na wa kihistoria kwake kisiasa na kijamii

kijamii kwa sasa Makonda amepoteza marafiki wengi aliowazoea hapo awali kabla ya kufanya mambo yake bila ya yeye kujua nini matokeo yake
kwa sasa rafiki yake mkuu amebaki ni Magufuli tu, bila shaka hafurahii urafiki huu kwani magufuli sio rika lake

kisiasa na kiutawala, huku ndiko anapitia magumu zaidi kwani amepoteza uaminifu, umakini na kujiamini mbele ya watu anaowasimamia na kuwaongoza
licha ya Magufuli kumpa jeuri, lakini bado hali ni tete kwake kwani anapokuwa kazini kwake huwa yupo mwenyewe pekeyake bila ya kuwa na rais

Kisaikolojia ndio kaathirika zaidi kutokana na mambo aliyoyapitia ikiwemo ubashite, uvamizi wa clouds na kutengwa na wanahabari!
hili la kutengwa na wanahabari kinamuumiza mkuu huyu kwani hapo awali alizoea kuuza sura na kutafuta kiki kwenye vyombo vya habari hata kama hana jambo la msingi yeye alikuwa anahitaji kusikika na kuonekana tu

ukweli waliokushauri kung'ang'ania ofisi walikushauri vibaya, bora ungejiuzulu kwani unayoyapitia sasa yataendelea kukutafuna tu na hutafanya lolote kiutawala na kimaendeleo kwa ujumla
Labda yupo kwenye special mission ndiyo maana hajali !!
 
Umesahau rafiki yake pia lemutuz international
 
Back
Top Bottom