Recent content by Nzowa Godat

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?

    Kwenye utumishi wa umma haitambuliki mpaka uoneshe cheti cha ndoa, kwenye mirathi inatambulika hata bila cheti wewe jichanganye uishi naye miaka miwili mfululizo halafu muachane uone mnavyogawana mali vizuri.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?

    Wameweka neno "presumption of marriage" ili kwenye document za kiutumishi akose benefits za kuwa mke, lakini kwenye mambo ya kifamilia awe beneficiary hasa mambo ya urithi in case huyo aliyekuwa anaishi naye na kulala kitanda kimoja naye kwa miaka yote miwili amekufa maana kwa miaka hiyo miwili...
  3. N

    JamiiForums Tanzania M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

    Wake za watu kwenye mikopo achana nao watakukausha dakika sifuri hawafai wale tuchezage na na mishangazi tu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

    Ukiona mtu ana pesa ujue ana akili nyingi, maana kila mtu angependa awe na pesa nyingi ukitaka uwe na pesa fanya kazi zinazongiza kipato kwa bidii, usitumie fedha kwa mambo yasio ya lazima, halafu jifunze kuweka akiba. Kuna watu wanafanya kazi kwa bidii sana lakini kazi wanazozifanya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sumbawanga yazizima: Wananchi Wamsindikiza Lissu kutoka Uwanjani hadi Hotelini. Polisi washindwa kuzuia maandamo yao

    Jamani tusifanye mzaha kosa moja goli tukumbuke uchaguzi wa Marekani kuna kosa walifanya
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Talimba Abbas hahojiwi kutokana na Gorofa lililoporomoka na kuua Kariakoo?

    Kwani Tarimba ndie mhandisi aliyechora au kujenga ghoroga hilo?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya neno pepsi

    Kwani tumboni kuna mifupa na misumari? Ungesema labda mtu anawe miguu na mikono kwa pepsi akipata madhara kwenye ngozi au kwenye nyama ndio uwe na haki ya kutoa conclusion, sasa mifupa na misumari wapi na wapi ..!!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Suala la umeme ni muhimu vinginevyo mradi wa SGR itakuwa kazi bure
  9. N

    JamiiForums Tanzania Faida ya karafuu katika kuchelewa kufika kileleni

    Kweli dushe zinateseka kwa madawa zitafika kaburini zikiwa hoi bin tabaani.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Watu wanaamini kuna Mungu na shetani kwa sababu kuamini ni rahisi kuliko kufikiri

    Kwa kawaida mtu mwenye akili ndogo hawezi kuelewa kitu ambacho hakakiona kwa macho, kuamini kwamba Mungu yupo ni kuiruhusu akili ione badala ya macho. Mtu mwenye akili ya kawaida husubiri macho yapige picha ya kitu yapeleke hiyo picha kwenye ubongo kwa ajili ya kukitambua. Lakini mtu mwenye...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Watu wanaamini kuna Mungu na shetani kwa sababu kuamini ni rahisi kuliko kufikiri

    Bila shaka hapingi uwepo wa Mungu ila ameshindwa kabisa kuelewa kama Mungu yupo yaani imemuwia vigumu kuweza kuelewa kitu ambacho hajakiona kwa macho. Anajua kwamba magari, majumba, nk, yapo kwa sababu ameyaona kwa macho.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Watu wanaamini kuna Mungu na shetani kwa sababu kuamini ni rahisi kuliko kufikiri

    Kuamini ni kazi ngumu na yenye kutumia akili nyingi zaidi kuliko kufikiri maana kufikiri kuna ukomo kutegemea uwezo wa ubongo. Lakini kuamini kwa dhati ni kushughulika na kitu ambacho hakionekani kwa macho (invisible), hakigusiki (intangible), hakiingii akilini, hakisikiki (inaudible), yaani...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni nini faida za CWT Kwa wanachama wake ambao ni walimu

    Sijui hata bati zenyewe kama huwa wanatoa
  14. N

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank yaondoa rasmi Riba ya Mkopo ya 13% na Sasa ni 16%

    Hakika, na benki zetu hazikopeshi kwa ajili kukusaidia tu bali wanafanya ni biashara kama biashara zingine tu za kutafuta faida
Back
Top Bottom