Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

Hao wazungu wabebe mabwawa kichwani pao watuletee kama wanayo. Sisi hatuna mbadala tunaendelea na mheshimiwa kutengeneza bwawa la Stiegler alilotupatia Mungu wetu.
 
Kwa nini tusiwashikilie hao Wajerumani hapo? Yaani tuwaambie sisi tutaacha kujenga hilo bwawa la Steiglers kama wao watajenga hicho kinu cha gesi kwa fedha zao na sisi hatuwalipi chochote mpaka umeme utakapopatikana na tuwe tunawalipa robo ya mapato kutokana na huo umeme? Tuwaambie ni lazima kinu chao cha gesi kizalishe megawatt 2100 tulizokuwa tunataka? Kwa nini tusiwaambie hivyo halafu tuwasikilize? Wakikubali hizo fedha ambazo tungepeleka Steiglers zimalizie standard gauge.
 
Tope kulirundika Stigler ndiyo rasilimali?
Ujerumani: Mradi wa umeme wa Tanzania wapigiwa kura bungeni

Bunge la Ujerumani limepitisha mswada wa kuitaka serikali ya Ujerumani itafute njia mbadala ya mradi wa Tanzania wa kuzalisha nishati ya umeme kwenye bonde la Stiegler ili kulinda turathi na asili.

View attachment 998487

Vyama vilivyomo katika serikali ya mseto ya Ujerumani vimeitaka serikali itafute njia nyingine badala ya ile ya mradi wa kuzalisha nishati ya umeme kwenye bonde la Stiegler kwenye mto rufiji kusini mwa Tanzania Wabunge wa vyama vya CDU/CSU, Kijani na AFD walishiriki katika kupiga kura hiyo lakini chama cha mrengo mkali wa kulia cha AfD, hakikushiriki. Azimio la vyama vya CDU,CSU na SPD pia linatokana na mapendekezo ya kamati ya serikali ya Ujerumani ya ushirikiano wa kiuchumi.

Azimio lililopitishwa bungeni na vyama hiyvo vilivyomo katika serikali ya mseto ya Ujerumani linaitaka serikali kuu isaidie katika masuluhisho ya kukidhi mahitaji ya nishati ya Tanzania bila ya kuathiri mazingira. Katika azimio lao vyama hivyo vimesema mradi huo mkubwa wa kuzalisha nishati ya umeme utavuruga mfumo wa mto mmojawapo mkubwa barani Afrika.

Tanzania inakusudia kujenga bwawa kubwa la kuzalisha nishati ya umeme kwa kutumia nguvu ya maji kutoka kwenye mto rufiji. Sehemu hiyo ni muhimu kwa shughuli za kilimo za wakaazi. Ikiwa mradi huo utaendelea mbele bonde la Stiegler ambalo limewekwa miongoni mwa turathi za shirika la Umoja wa mataifa la UNESCO litapoteza hadhi yake na huenda likasababisha athari kubwa katika raslimali zilizopo kwenye sehemu hiyo.
Katika ombi lao kwa serikali ya Ujerumani wabunge wa vyama vya CDU,CSU na SPD wamesema sehemu hiyo ya mbuga ya wanyama ya Selous nchini Tanzania ni eneo kubwa kabisa na kongwe la hifadhi ya wanyama pori barani Afrika.

Wabunge hao wamesema mradi huo wa bwawa la nishati utahitaji sehemu kubwa sana itakayotokana na kukatwa kwa miti na hivyo kusababisha athari kubwa katika mazingira, tabia nchi na katika uchumi.

Wabunge wa chama cha upinzani cha FDP wameshauri kujengwa kinu cha nishati kutokana na gesi kwa sababu Tanzania inayo gesi ya kutosha iliyogunduliwa hivi karibuni. Chama hicho cha upinzani cha FDP kilichopinga azimio hilo kimeitaka serikali ya Ujerumani ifanye mazungumzo na serikali ya Tanzania.

Mwandishi/Zainab Aziz/Daniel Pelz/DW Berlin

Mhariri: Yusuf Saumu

CHANZO: Ujerumani: Mradi wa umeme wa Tanzania wapigiwa kura bungeni | DW | 18.01.2019

Kulikoni Wajerumani eti watupangie matumizi ya rasimali zetu..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameona majenerator yao yatakosa soko, rafiki yake wa kule lister peter na mwenzake Mueller power,pia bidhaa zao za viwandani vitakosa soko
 
kwan hii nchi yetu au ya kwao?........

sasa watafanya watu tuanze kutembea na magufuli........

wajinga kweli hawa! nchi yao hii?
Yaani Kuna mda mpaka unaweka ukashangaa Mambo yanayohusu nchi yao sisi wala hatujadili wala kutoa mapendekezo ial waowako busy Kila siku kuona tunafanya Nini na wanataka kutuamulia Nini Cha kufanya na pesa zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kigingi alikwisha kiruka Rais shupavu Magufuli. RAIS wa sasa hana haja ya respond ila alimalizie lianze kazi.
 
Ujerumani: Mradi wa umeme wa Tanzania wapigiwa kura bungeni

Bunge la Ujerumani limepitisha mswada wa kuitaka serikali ya Ujerumani itafute njia mbadala ya mradi wa Tanzania wa kuzalisha nishati ya umeme kwenye bonde la Stiegler ili kulinda turathi na asili.

View attachment 998487

Vyama vilivyomo katika serikali ya mseto ya Ujerumani vimeitaka serikali itafute njia nyingine badala ya ile ya mradi wa kuzalisha nishati ya umeme kwenye bonde la Stiegler kwenye mto rufiji kusini mwa Tanzania Wabunge wa vyama vya CDU/CSU, Kijani na AFD walishiriki katika kupiga kura hiyo lakini chama cha mrengo mkali wa kulia cha AfD, hakikushiriki. Azimio la vyama vya CDU,CSU na SPD pia linatokana na mapendekezo ya kamati ya serikali ya Ujerumani ya ushirikiano wa kiuchumi.

Azimio lililopitishwa bungeni na vyama hiyvo vilivyomo katika serikali ya mseto ya Ujerumani linaitaka serikali kuu isaidie katika masuluhisho ya kukidhi mahitaji ya nishati ya Tanzania bila ya kuathiri mazingira. Katika azimio lao vyama hivyo vimesema mradi huo mkubwa wa kuzalisha nishati ya umeme utavuruga mfumo wa mto mmojawapo mkubwa barani Afrika.

Tanzania inakusudia kujenga bwawa kubwa la kuzalisha nishati ya umeme kwa kutumia nguvu ya maji kutoka kwenye mto rufiji. Sehemu hiyo ni muhimu kwa shughuli za kilimo za wakaazi. Ikiwa mradi huo utaendelea mbele bonde la Stiegler ambalo limewekwa miongoni mwa turathi za shirika la Umoja wa mataifa la UNESCO litapoteza hadhi yake na huenda likasababisha athari kubwa katika raslimali zilizopo kwenye sehemu hiyo.
Katika ombi lao kwa serikali ya Ujerumani wabunge wa vyama vya CDU,CSU na SPD wamesema sehemu hiyo ya mbuga ya wanyama ya Selous nchini Tanzania ni eneo kubwa kabisa na kongwe la hifadhi ya wanyama pori barani Afrika.

Wabunge hao wamesema mradi huo wa bwawa la nishati utahitaji sehemu kubwa sana itakayotokana na kukatwa kwa miti na hivyo kusababisha athari kubwa katika mazingira, tabia nchi na katika uchumi.

Wabunge wa chama cha upinzani cha FDP wameshauri kujengwa kinu cha nishati kutokana na gesi kwa sababu Tanzania inayo gesi ya kutosha iliyogunduliwa hivi karibuni. Chama hicho cha upinzani cha FDP kilichopinga azimio hilo kimeitaka serikali ya Ujerumani ifanye mazungumzo na serikali ya Tanzania.

Mwandishi/Zainab Aziz/Daniel Pelz/DW Berlin

Mhariri: Yusuf Saumu

CHANZO: Ujerumani: Mradi wa umeme wa Tanzania wapigiwa kura bungeni | DW | 18.01.2019

Kulikoni Wajerumani eti watupangie matumizi ya rasimali zetu..!!
Tunawakumbusha tu jamani.
 
Or what...
 
Mr.Haambiliki na wapamba wake muda ndio huwaumbua maana kamwe huwa hawasilikizi mawazo ya watu.

Mpaka sasa ameshavurunda katika mambo mengi na yote ni kutokana na yeye kupuuza ushauri na maoni ya watu.

Huyu ni mtu wa kuharibu tu na kibaya hataki kujifunza na hata kukiri kuwa anakosea.

Tuache muda utakuja kuthibitisha ni nani yuko sahihi kati ya serikali na wataalamu waliofanya Environmental Impact Assessment.
Ulionyesha ujinga uliopindukia
 
Back
Top Bottom