Faida ya karafuu katika kuchelewa kufika kileleni

Faida ya karafuu katika kuchelewa kufika kileleni

hizi mambo za kupaka nini kwa dushee aijui mnapumbazwa na nani...so bila kupaka hakuna kazi....kupaka paka kama uganga vile mmi nakojoza vizuri foreplay tu unaze fresh una enjoy tatizo watu mnataka kukomoana story za makahaba zinawadanganya
 
Hahahahaaa eti umetulia mzigo umefungwa karambo au kakitambara anafika mwenzio ndo unatoa kakitambara hahahahah. Afu mi mambo ya KUFUNJA ndoa za watusipendiiii
 
Kuna mtu alisema wanaume wa Dar wakati wa game wanaingia na viungo room ka wanaenda kupika, karanga, mihogo, pweza, red bull, konyagi, sasa na karafuu. Fanyeni mazoezi vijana
 
Mara karafuu, mara colgate, mara congo dust. Daah hizi dushe baada ya miaka kadhaa si zitakua lelemama kwa hizi herbs. Kama una tatizo tibu kwa matunda unapona baada ya muda kidogo.

Ni kama ushauri tu. Neno langu si torati. Happy Easter
Kweli dushe zinateseka kwa madawa zitafika kaburini zikiwa hoi bin tabaani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom