ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Huo ni mtaji !!?Ulitaka wapewa mamilioni ndo uwe mtaji mkuu..hata kama wamepewa elf 50 si imebust mitaji yao katika biashara zao
Au pesa ya kuchoma mahindi
Huo ni mtaji !!?Ulitaka wapewa mamilioni ndo uwe mtaji mkuu..hata kama wamepewa elf 50 si imebust mitaji yao katika biashara zao
Kuna watu wanatafuta hata hiyo ya kuchomea mahindi hawapati na kuna ma prof na wafanyabiashara wakubwa wamesomeshwa na hayonunayoita mahindi Acha dharau we fedhuliHuo ni mtaji !!?
Au pesa ya kuchoma mahindi
Amejibu swali hilo kisomi sana. Nenda tiktok ukasikilize alivyojibu.Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani
Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40
Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa. Ni muhujumu uchumi kwahyo kwa kuwa tumia watoto yatima ili atakatishe pesa pesa
Naomba mamlaka imkamate kisha imuhoji
Jibu swali nguruweTuachane kufatilia mambo ya watu mkuu jali maisha yako mitandao itakukosesha amani yule kijana anasaka "fame"
Ukiona mtu ana pesa ujue ana akili nyingi, maana kila mtu angependa awe na pesa nyingi ukitaka uwe na pesa fanya kazi zinazongiza kipato kwa bidii, usitumie fedha kwa mambo yasio ya lazima, halafu jifunze kuweka akiba. Kuna watu wanafanya kazi kwa bidii sana lakini kazi wanazozifanya haziingizi kipato ndio maana wanakuwa maskini. Tafuteni hela bwana acheni kuwa mdebwedoKijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani