Recent content by Nzinyangwa

  1. N

    Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

    Hapo dada Umeliwa. Haihitaji hata kuomba ushauri wewe sepa tu kwani utakuja kujuta baadaye. Anatafuta Masters kwenye mwili wako huyo. Na wewe una makosa pia kwanini muwe mahawara kabla ya kuoana.
  2. N

    Napendekeza Mdahalo wa ana kwa ana kati ya Wasomi wa Kiislamu na Kikristo Waliomo na Wasiokuwamo JF

    Kama kweli unataka kujua kuhusu Quran shule zipo. Ulivyosoma mpaka chuo kikuu uliwahi kuwaambia maprofesa waje ufanye nao mdahalo?
  3. N

    Napendekeza Mdahalo wa ana kwa ana kati ya Wasomi wa Kiislamu na Kikristo Waliomo na Wasiokuwamo JF

    Kama kweli unataka kujua kuhusu Quran tafuta mtu aneyeijua akufundishe!
  4. N

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    Unaandika thread bila kutoa ushahidi hiyo si hulka ya wasomi makini. Matukio hayo unayosema yametokea kwa sababu ya nini? kwa mfano kufukuliwa kaburi, kwanza unatoa habari ya uongo, mwenye mtu aliyekuwa amezikwa ndie aliyefuka mwenyewe baada ya kumsihi afukue! wewe unaona kwa akili yako ni...
  5. N

    Kipindi cha "Jukwaa kwa Jamii" Redio Imaan Kimeanza live

    Wewe toa kashafa tu lakini ukweli umeshaanikwa kuhusu huyo jamaa yenu kwa hoja na ushahidi. Kama wewe ndo unjiona msomi basi Tz tuna kazi kubwa ya kufanya.
  6. N

    Kipindi cha "Jukwaa kwa Jamii" Redio Imaan Kimeanza live

    Unaishiwa hoja sasa unatukana!!!!
  7. N

    Kipindi cha "Jukwaa kwa Jamii" Redio Imaan Kimeanza live

    Hivi Jf imekuwa ni ya kuijadili Redio Imaan tuuuu!! Wanajopo wameshafanya uchambuzi wao nawewe Pinga kwa hoja sio kukimbilia kusema Redio Ifungwe. Kama mtu kutoa maoni yake yanayotofautiana na mtazamo wako ni kuchochea basi hata wewe unachochea kwa mtazamo wangu. Kipindi cha huyo unayeona ni...
  8. N

    Maalim Seif ni Mfadhilri wa TV Imani amesha wahihiza Waislam kuichangia kwa nguvu Zote!!!

    Duh!!!! Kwa hiyo wewe ulitaka waislamu wasichangie chombo chao!!!!! Hivi wanasiasa wengine wanaochangia michango mbalimbali makanisani nalo iwe ajabu?? au? kweli hampendi kuona uislamu unaendelea. Hivi hii thread ina hoja yenye kichwa kweli??? Kumbe udini ukuimvaa mtu hata akili yake inashindwa...
  9. N

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Aliyeplani ni nani sasa??? Aliyekojolea kitabu kitakatifu au nani sasa!!!!! Hoja yako haina mashiko!!!!!
  10. N

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Ndugu toa ushahidi wa kukashfiwa kwa ukristo na redio imaan usiseme mambo kibubusa. Mara ngapi Wakristo wamedhalilisha Quran waislamu wakanyamaza???? sasa wamechoka kama hamtaacha mjue amani itatoweka. Lazima kila mtu akubali kosa lake tutatatua tatizo, lakini kwa mtindo huu wa kutoona kosa la...
  11. N

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Hivi kumbe CHADEMA, Gazeti la Mwanahalisi (Kubenea) na Ulimboka wanawakilisha Wakristo na Ukristo!!!!!!!!! Ilaa nimeelewa. Halafu kumuita Rais Dhaifu hivi hii sio kashfa na Uchochezi??????!!!!! Maana kuna watu huwa wakikosolewa hua mnasema ni uchochezi na kashfa!!!!!!!!
  12. N

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Sio mtoto bana. mtu ansoma form two tena mwenye uwezo wa kutia mwanamke mimba unasema mtoto! Endeleeni kuwatukana Waislamu na kuwadharau makadhani watakaa kimya. Endeleeni ila msije kujuta. Kuna mtu amecoment eti kuwakomesha waislamu viongozi wote wawe wakristo!!!! Hivi kumbe huwa wakristo...
  13. N

    CUF iko juu ya sheria Tanzania?

    Una Chuki binafsi na CUF!!!!
  14. N

    Jussa ajiuzulu Unaibu Katibu Mkuu (ZNZ) ili 'kusaidia Zanzibar kupata Uhuru Wake'

    Uamsho wanahoja tofauti na vyama vyote. Ni watu makini ambao hawawezi kutumiwa na mtu yeyote. Waio wamekuja na wazo mbadala.
  15. N

Back
Top Bottom