Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Post yako ya kwanza imekuonyesha wazi wewe ni mtu wa aina gani?
Hili ni swali au maelezo? No comments
Post yako ya kwanza imekuonyesha wazi wewe ni mtu wa aina gani?
mbona kabwe naye kaanza kampeni
Kwahiyo mnamuiga Kabwe siyo? BTW: Kabwe alitangaza nia hiyo akiwa kwenye mkutano na wananchi wake kule Kigoma. Sultani wa Chama cha Udini na Fitina aka Le porofeseri La-pumba anatembezwa kama ombaomba kwenye mikutano ya Chama akinadiwa na kushabikiwa na viongozi wenzie. Bado huoni tofauti hapo ewe Polisi wa Mabwepande? Basi utakuwa umeacha akili yako Lumumba, fanya fasta ukaichukue isije ikatumiwa vibaya na Nepi!mbona kabwe naye kaanza kampeni
CUF ni chama cha dini ya Rais, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar na Makamu wake wote wawili, IGP, Judge Mkuu, Judge Kiongozi na Mkuu wa Uhasama wa Taifa.
Nani atanyanyua mdomo wake kukikemea?
CUFU imepelekwa ICU na Mlemavu ccm, ulemavu ambao anadhani kwa kuitumia CUF kuinanga CDM utaponywa, thubutuu!
2005 Kansa itakuwa imefikia kikomo na kilema kugeuka msiba kwa wote wawili CUF Na CCM
nawe kuwa muelewa mleta mada hajasema Lipumba ametangaza nia bali CUF wanaomba Lipumba apewe kura 2015
Hivi huyu JOHN MREMA huko CDM makao makuu kazi yake ni nini hasa? Kila siku anashinda JF kumwaga fitna tu! ZZK wa CDM si katangaza hadharani kugombea urais mbona hamsemi?
huyo John Mrema kakuchukulia mke tangu lini?
Na wewe kazi yako ni nini humu JF daily kumtukana slaa!
Pia mdini ni ww kutukana wakristo ukidhani fahari!
Na ww sema kazi ya Jussa ni nini CUF?
NGURUWE MKUBWA WW.
Una Chuki binafsi na CUF!!!!
Acha udini kenge we,