Recent content by Nziirison

  1. N

    JamiiForums Tanzania Je, baada ya James Rugemalira wa IPTL kuachiwa huru, nini hatma ya majizi waliotajwa bungeni na Mh. Tundu Lissu?

    Hapa umedhihirisha akili yako ni finyu. Tunaposema adui wa nchi hi Ni ccm, ndio tunazungumzia ujumla, ikiwa ni pamoja na uliyemtaja & co; pamoja na wewe na wajinga na wanafiki wengine & co. Huwezi kusema ccm sio mbaya, eti ni baadhi ya wanaccm ndio wabaya. Ccm ni mkusanyiko was fisi- walafi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Katika utawala wake, hayati Magufuli hakwenda New York kuhutubia UNGA, je tulirudi nyuma kiuchumi na kisiasa?

    H Hayo ni maoni yako, wanaccm wenye akili timamu hawawezi kufikiria hivo
  3. N

    JamiiForums Tanzania New York, Marekani: Rais Samia ashiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali Wanawake

    Hi Hivi jiwe allikua na akili ndogo kiasi gani?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je, baada ya James Rugemalira wa IPTL kuachiwa huru, nini hatma ya majizi waliotajwa bungeni na Mh. Tundu Lissu?

    Unatakiwa upigie mstari: 'ADUI MKUBWA WA NCHI HII NI CCM'.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama yapukutisha Mali za marehemu Bilionea Mrema

    Shagaa kwanza walipataje hizo mali
  6. N

    JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia, Tanzania moja ya nchi Afrika zinazovutia kwa uwekezaji 2020/21

    Huu ujinga cjui be na alituambukiza.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

    Mi siruhusu mamsapu aende buchani kabisaaa. Wale jamaa wanachanganya Sana wake za watu na vile vinyongeza vyao 🤣🤣🤣🤣🤣
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

    X- prezidaa Mwinyi alitahadharisha mapema Sana.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro inakufa

    L Labda mleta mada atueleze ni wilaya nyapi Tzania zina maendeleo kuliko Rombo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

    Not mesoma tu kichwa Cha habari. Kusema rais amejenga mradi fulani ni ujinga wa kiwango cha juu sana. Miradi inajengwa kutokana na kodi tunazolipa sisi wananchi. Rais ni mtumishi kama watumishi wengine, na anatekeleza majukumu ya ofisi yake kwa mujibu was sheria, na miradi inayotekelezwa sio...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Suala la Hamza Mohammed, Wapinzani mnajiaibisha sana mbele ya umma

    Hi kauli ilitolewa na mtu mwenye akili timamu?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Katiba ya CHADEMA inasemaje chama kutokuwa na Mwenyekiti wala Makamu?

    Ushauri want hangaika na mambo ya ccm, ya Chadema waaachie wenye chama be chap.
Back
Top Bottom