Je, baada ya James Rugemalira wa IPTL kuachiwa huru, nini hatma ya majizi waliotajwa bungeni na Mh. Tundu Lissu?

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,201
2,000
Ukiwa na akili finyu utasingizia wasioonekana au ujumla ili ufiche umoja. Mfano adui wa nchi hii ni CCM! Hivi una akili kweli? CCM haiwezi kuwa baya bali watu binafsi walio katika CCM. Aliyeasisi Wizi wa Escrow ni JK, unaogopa kumtaja unaitaja CCM. Lazima muondokane na akili za upunguani kuhangaika na ujumla baadala ya umoja ili kuinusuru nchi yetu.
Mkapa aliiba mamilioni, akaja Kikwete akaiba mabilioni, akaingia dhalimu mwandakuzimu akaiba matrilioni sijui anayefuatia ataiba ngapi...maquadrilioni? Yupi kati ya hao wote hakusukumiziwa madaraka na chama king'ang'anizi kilichochoka CCM? Halafu tunashangaa kwa nini nchi masikini! Kweli adui wa taifa hili ni CCM.
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,201
2,000
Unacho shangaa ni kipi !!?
Magu aliwaweka ndani majizi mkapinga kweli kwa kumuita dikteta.....
Amekufa leo mafisadi yanatoka yaanze kutamba unashangaa!!!
Dhalimu mwendakuzimu mwenyewe aliiba hadi akapigwa stop na corona au huna habari?
 
Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
480
1,000
Mkapa aliiba mamilioni, akaja Kikwete akaiba mabilioni, akaingia dhalimu mwandakuzimu akaiba matrilioni sijui anayefuatia ataiba ngapi...maquadrilioni? Yupi kati ya hao wote hakusukumiziwa madaraka na chama king'ang'anizi kilichochoka CCM? Halafu tunashangaa kwa nini nchi masikini! Kweli adui wa taifa hili ni CCM.
Kupambana na ufisadi chini ya CCM ni kujilisha upepo maana uongozi ndani ya chama unatoka na na rushwa na hivo viongozi wake ni zao la rushwa Sasa hapo ni ujinga kiamini CCM inaweza pambana na ufisadi .Sulihisho ni kuwatoa madarakani
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
177,034
2,000
View attachment 1942762

Je nini hatma ya wote hawa waliodaiwa kugawiwa hela za Escrow na James Rugemalira wa IPTL?

Je hao watu walioitwa majizi na Mh. Tundu Lissu bungeni ndio tuhuma zilizowakabili zimefutwa na sasa nao hawana hatia?

Je hii ina maana gani zaidi ya kwamba hizo hela walizovuna zilikuwa halali zao!

Je kitendo hicho kimetoa funzo na tafsiri gani kwa wananchi walipa kodi wa taifa hili?
Kumbuka hakushinda kesi bali imefutwa na Jamhuri
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
12,418
2,000
Kwa kweli nasubiri kwa hamu kumuona Ruge anachukua hatu gani kwani miaka minne jela si mchezo. Wakati anafunguliwa kesi na kuwekwa ndani SSH alikuwa makamu wa Rais na sasa baada ya corona kumwahi bosi wake karithi kiti na Ruge kaachiwa. Hapo ndipo patamu na ndipo unafiki wa Watanzania unapotia fora! Adui mkuu wa taifa hili hakika ni CCM.
Hakika sema wadanganyika wengi bado hawajajua hii siri

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
12,418
2,000
Ukiwa na akili finyu utasingizia wasioonekana au ujumla ili ufiche umoja. Mfano adui wa nchi hii ni CCM! Hivi una akili kweli? CCM haiwezi kuwa baya bali watu binafsi walio katika CCM. Aliyeasisi Wizi wa Escrow ni JK, unaogopa kumtaja unaitaja CCM. Lazima muondokane na akili za upunguani kuhangaika na ujumla baadala ya umoja ili kuinusuru nchi yetu.
Povu hizi zinadhihirisha kauli ya jamaa kwamba ADUI namba Moja wa Tz ni CCCM ...Nchi hii siinaongozwa na cccm

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Nziirison

Member
Aug 4, 2021
45
125
Ukiwa na akili finyu utasingizia wasioonekana au ujumla ili ufiche umoja. Mfano adui wa nchi hii ni CCM! Hivi una akili kweli? CCM haiwezi kuwa baya bali watu binafsi walio katika CCM. Aliyeasisi Wizi wa Escrow ni JK, unaogopa kumtaja unaitaja CCM. Lazima muondokane na akili za upunguani kuhangaika na ujumla baadala ya umoja ili kuinusuru nchi yetu.
Unatakiwa upigie mstari: 'ADUI MKUBWA WA NCHI HII NI CCM'.
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,903
2,000
Ukiwa na akili finyu utasingizia wasioonekana au ujumla ili ufiche umoja. Mfano adui wa nchi hii ni CCM! Hivi una akili kweli? CCM haiwezi kuwa baya bali watu binafsi walio katika CCM. Aliyeasisi Wizi wa Escrow ni JK, unaogopa kumtaja unaitaja CCM. Lazima muondokane na akili za upunguani kuhangaika na ujumla baadala ya umoja ili kuinusuru nchi yetu.
Tunasema ni CCM maana waliovuta mgao ni wana CCM na hawajaguswa mpaka leo. Imagine Mbowe angepewa hata laki 1 na Seth hivi asingekua amenyongwa? Hakuna kesi ya ufisadi nchi hii ambao mwanasiasa wa CCM ataburuzwa kortini tuliona hilo kwenye makinikia,EGMA,Escrow,lugumi, Kashfa ya Lugola na tenda hewa na hta huyo JPM hakufanya lolote kuwakamata.

CCM ni ileile ndio maana wanalindana
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,903
2,000
Kwanza hata Rugemalila hakuwai kuwa mwizi tuache janja janja TANESCO WALIPASWA KULIPA KIASI WALICHOMLIPA KWA UZALISHAJI UMEME HATA LISSU MWENYEWE KUNA HOTUBA ANASEMA WAMEONEWA HIVO SOMETIMES SIASA TUZIWEKE PEMBENI!!! Magufuli alikuwa shetani kabisa yan
Tanesco walipaswa kumlipa ile pesa lakini siyo yote.

Utaratibu uliotumika kuzitoa pesa haukufuata taratibu.

Pesa ya serikali ikiwemo kodi baada ya mauzo ya hisa haikukatwa n.k

So pesa zilikua na ufisadi na ndio maana mgao ulitembea.

Ambacho wapinzani akiwemo Lissu walipinga ni kuwakamata Seth na Ruge huku wahusika wengine walio facilitate hili dili upande wa serikali/CCM wakiacha kushtakiwa.

So ilionekana kama wamewatoa kafara hawa jamaa ili kuisafisha serikali ilihali kina Ngeleja na Chenge waliohusika 100% wakiendelea kupeta bungeni.

Bila kukamata majizi yaliyopo CCM vita ya ufisadi ni maigizo tu
 
babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,976
2,000
9B7A0136-551B-4B37-A023-60685724C731.jpeg

Msomeni Lema, “I can imagine then joy of the family”!
Mambo ni mengi muda ni mchache!

Ninamalizia, “I can imagine those billions of escrow could have saved many lives and brought so much joy to many poor families”!
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
3,910
2,000
Tunasema ni CCM maana waliovuta mgao ni wana CCM na hawajaguswa mpaka leo. Imagine Mbowe angepewa hata laki 1 na Seth hivi asingekua amenyongwa? Hakuna kesi ya ufisadi nchi hii ambao mwanasiasa wa CCM ataburuzwa kortini tuliona hilo kwenye makinikia,EGMA,Escrow,lugumi, Kashfa ya Lugola na tenda hewa na hta huyo JPM hakufanya lolote kuwakamata.

CCM ni ileile ndio maana wanalindana
Naamini wewe kidogo ubongo unafanyakazi! Hoja yangu ni kuwa, mwanaCCM anapofisadi na tukamjumisha katika CCM wote baadala ya kumsingoauti huyo fisadi, basi hoja huwa imeisha nguvu. Napendelea kupambana na fisadi kama fisadi mwenyewe baadala ya kumficha fisadi katika kivuli cha chama cha siasa. Chama cha siasa hakiwezi kuwa fisadi bali mwanachama mmoja mmoja.

Hapa JF ni mabingwa wa kuua hoja za ufisadi kwa kuwabandika mafisadi katika vyama vyao. Huu ni ujuha. Mfano CCM haikumtuma JK afisadi hela za escrow! Hivyo JK ahukumiwe kama yeye si ccm nzima. Kama Mbowe aligaidi kama wanavyosema waliomshitaki, hii isiunganishwe na chadema maana hata ikiwa ni kweli, siamini atakuwa ametumwa na chama.

Kwa kuhitimisha tunatakiwa kusema adui wa nchi hii ni baadhi ya Viongozi wa CCM na si kusema adui ni CCM.
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,278
2,000
Hivi si kuna kiasi fulani cha pesa ukipewa kama zawadi unatakiwa kuijulisha serikali, nayo inachukua kodi yake. Si kuna utaratibu huo?

Sasa wote wale waliogawiwa mabilioni itakuwaje?
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,841
2,000
View attachment 1942762

Je nini hatma ya wote hawa waliodaiwa kugawiwa hela za Escrow na James Rugemalira wa IPTL?

Je hao watu walioitwa majizi na Mh. Tundu Lissu bungeni ndio tuhuma zilizowakabili zimefutwa na sasa nao hawana hatia?

Je hii ina maana gani zaidi ya kwamba hizo hela walizovuna zilikuwa halali zao!

Je kitendo hicho kimetoa funzo na tafsiri gani kwa wananchi walipa kodi wa taifa hili?
Hao sio majizi, karma imeisha washughulikia karibu wahusika wakuu wote na waliobakia, itamalizana nao!.
Escrow haukuwa wizi.
P
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,980
2,000
Magufuli alikuwa mwana wa Tanzania,dhamira yake ilikuwa njema sana,ipo siku yule Fatma Karume atapigwa risasi hadharani
Mnahubiri Upuuzi Kama huu!!awe na Dhamira njema apige watu Risasi !!!! Awe na dhamira njema aibe pesa afiche Seychelse au awe na dhamira njema aweke wanyarwanda 245 kwenye system? Kisa ni damu inayogusana na yake ? Awe na dhamira njema amuue Ben saa nane Kwa kummezesha Chatu? Tuwe wakweli bwana
 
Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
9,238
2,000
Kuna fukuto la Rugemalila kuishtaki serikali kwa kumfunga bila kumfikisha mahakamani na kutowepo ushahidi wa kutosha.

Hivyo hitimisho laweza kuwa ni kwa serikali (kwa kushirikiana na mpangaji wa ile ghorofa ya nje) kuyamaliza nje ya mahakama na James Rugemalila na malipo kuwa ni siri.

Ila serikali itajifunza kuhakikisha ina vigezo na vielelezo vyote vya ushahidi juu ya mtu yoyote inaemtuhumu kwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha.
Huijui serikal wewe...yaan katoka kwa kudra halaf aje aishitak wakat wamemwonya kabisa..tunakutoa lakin marufuk kuisema vbaya serikal ama kufungua kesi ya madai...weee acha kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom