Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii na kwenye spaces za Twitter zinazoendelea sasahivi za wanaharakati na wanasiasa wa vyama vya upinzani, nimeshtushwa sana na namna viongozi na wanaharakati wa upinzani wanavyomuunga mkono gaidi Hamza aliyeua Watanzania wenzetu 4 na kuwajeruhi watu wengine 6.

Nimeshangaa kuwaona watu wanaojigamba kuipenda nchi hii kama akina Lema, Fatma Karume, Mbatia na wenzao kumshadadia Hamza na kuonyesha kumuunga mkono kana kwamba kafanya jambo la maana na lenye tija kwa nchi. Leo Hamza anapata uungwaji mkono na watu wa upinzani kwa sababu ya kuua askari na Watanzania na kujeruhi wengine. Hii ni aibu na najisi kwa nchi.

Cha kushangaza watu hawa wa upinzani wanamshadadia Hamza kwa kushikilia maneno ya kubumba ya mitandaoni kwamba Hamza alidhulumiwa na polisi. Sasa kama Hamza alidhulumiwa kama wanavyobumba, njia ya kupata haki kwenye nchi hii ni kuchukua bunduki na kuanza kufyatulia watu?

Viongozi na wanaharakati wa upinzani mnaomshadadia na kumsapoti Hamza mnajiabisha sana mbele ya Watanzania na sasa mnajidhihirisha mbele za umma jinsi msivyolitakia mema Taifa hili.

Watu mnaojigamba mnaipenda nchi hii leo mnaibuka kumuunga mkono mtu aliyeleta taharuki kwa nchi, mtu aliyepeleka simanzi na umaskini kwa kuua Watanzania wenzetu ambao walikuwa wanategemewa na familia zao na Jamii yetu halafu nyie mnamuunga mkono kwa hoja nyepesi na za kusikia tu kwenye mitandao kwamba eti Hamza alidhulumiwa. Wapinzani mnajiaibisha sana mbele za Watanzania.
Sema mnyonge aliyeonewa
 
Kama njia ya kupata haki kupitia bunduki mlikuwa mnaiona kwenye tv sasa imewafikia tulieni,acheni dhuluma hamza naye ni binadamu
 
Kusema Hamza alikuwa mfadhili na kada mtiifu wa CCM ni makosa.
 
Hamza ameondoka duniani kwa njia ya mbaya sana na ya kusikitisha
Tujifunze kuwasaidia ndugu zetu kwa kuwajengea afya ya akili wakiwa hai
Tunashukuru tu hiyo afya ya akili ya Hayati Hamza haikuleta madhara kwa raiya wema waliokua eneo la tukio.
 
Turudi kwenye hao askari wako watanzania unaosema;

● Mbona askari wakitu bambikiza kesi hamuongei?

● Askari wamekua wote wanachama wa chama cha siasa, wanachama wa CCM, mbona hamuongei?

● Wakituomba rushwa mnasema ni hela za kusafishia viatu?

● Wakitu bambikiza makosa barabarani mnasema nchi haina hela kwaajili ya miradi?

● Wakipiga watu na kujeruhi bila sababu mnasema ndio kazi yao?

● Mnajitapa kwenye mikutano ya hadhara kwamba askari polisi wa CCM hawakosi risasi zaidi ya mbili, wakikosa basi hao sio askari?

● Wakipigana risasi na kuuwana wao kwa wao kwa kugombania siti ya mbele kwenye gari, mnasema walikua wanakimbiza wauza madawa ya kulevya?
Thibitisha haya uliyoyasema isije ikawa na ww ndio wale wanaosikia tu kama wengine mkuu

Sent from my OE106 using JamiiForums mobile app
 
Turudi kwenye hao askari wako watanzania unaosema;

● Mbona askari wakitu bambikiza kesi hamuongei?

● Askari wamekua wote wanachama wa chama cha siasa, wanachama wa CCM, mbona hamuongei?

● Wakituomba rushwa mnasema ni hela za kusafishia viatu?

● Wakitu bambikiza makosa barabarani mnasema nchi haina hela kwaajili ya miradi?

● Wakipiga watu na kujeruhi bila sababu mnasema ndio kazi yao?

● Mnajitapa kwenye mikutano ya hadhara kwamba askari polisi wa CCM hawakosi risasi zaidi ya mbili, wakikosa basi hao sio askari?

● Wakipigana risasi na kuuwana wao kwa wao kwa kugombania siti ya mbele kwenye gari, mnasema walikua wanakimbiza wauza madawa ya kulevya?
Sentensi yako ya mwsho nimecheka sana aisee
 
Hamza ameondoka duniani kwa njia ya mbaya sana na ya kusikitisha
Tujifunze kuwasaidia ndugu zetu kwa kuwajengea afya ya akili wakiwa hai
Hamza ameondoka kishujaa. Na ujumbe alioukusudia, umefika ipasavyo!
 
Turudi kwenye hao askari wako watanzania unaosema;

● Mbona askari wakitu bambikiza kesi hamuongei?

● Askari wamekua wote wanachama wa chama cha siasa, wanachama wa CCM, mbona hamuongei?

● Wakituomba rushwa mnasema ni hela za kusafishia viatu?

● Wakitu bambikiza makosa barabarani mnasema nchi haina hela kwaajili ya miradi?

● Wakipiga watu na kujeruhi bila sababu mnasema ndio kazi yao?

● Mnajitapa kwenye mikutano ya hadhara kwamba askari polisi wa CCM hawakosi risasi zaidi ya mbili, wakikosa basi hao sio askari?

● Wakipigana risasi na kuuwana wao kwa wao kwa kugombania siti ya mbele kwenye gari, mnasema walikua wanakimbiza wauza madawa ya kulevya?
Kama chadema wakichukua nchi policcm watabadirika kuwa polischadema au watafukuzwa wote?
 
Lakini kusema ukweli polisi wajitathimini kwanini wawe shabaha.

Kwanini wageuke maadui wa wanaowalinda?.

Kwa sasa ukisimamishwa na polisi unakuwa hauna uhakika na kitakachokutokea. Hali inakuwa mbaya zaidi akikwambia twende kituoni, kama una mali za thamani au pesa mfukoni ndio basi tena hesabu hasara.

Yaani wamekuwa wa ajabu sana, huku zikikaribia sikukuu inabidi utembee na wala 20,000/= kama udhuru ikitokea umekutana nao watakusimamisha itatajiwa kosa ambalo halipo, mwisho ni ujikomboe kwa cash ili uwe huru. Sikukuu zikiisha amani inarudi kidogo. Lakini isiombe mkutane katika pilikapilika zao.

Pia isiombe wajue una cash utajuta
 
Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii na kwenye spaces za Twitter zinazoendelea sasahivi za wanaharakati na wanasiasa wa vyama vya upinzani, nimeshtushwa sana na namna viongozi na wanaharakati wa upinzani wanavyomuunga mkono gaidi Hamza aliyeua Watanzania wenzetu 4 na kuwajeruhi watu wengine 6.

Nimeshangaa kuwaona watu wanaojigamba kuipenda nchi hii kama akina Lema, Fatma Karume, Mbatia na wenzao kumshadadia Hamza na kuonyesha kumuunga mkono kana kwamba kafanya jambo la maana na lenye tija kwa nchi. Leo Hamza anapata uungwaji mkono na watu wa upinzani kwa sababu ya kuua askari na Watanzania na kujeruhi wengine. Hii ni aibu na najisi kwa nchi.

Cha kushangaza watu hawa wa upinzani wanamshadadia Hamza kwa kushikilia maneno ya kubumba ya mitandaoni kwamba Hamza alidhulumiwa na polisi. Sasa kama Hamza alidhulumiwa kama wanavyobumba, njia ya kupata haki kwenye nchi hii ni kuchukua bunduki na kuanza kufyatulia watu?

Viongozi na wanaharakati wa upinzani mnaomshadadia na kumsapoti Hamza mnajiabisha sana mbele ya Watanzania na sasa mnajidhihirisha mbele za umma jinsi msivyolitakia mema Taifa hili.

Watu mnaojigamba mnaipenda nchi hii leo mnaibuka kumuunga mkono mtu aliyeleta taharuki kwa nchi, mtu aliyepeleka simanzi na umaskini kwa kuua Watanzania wenzetu ambao walikuwa wanategemewa na familia zao na Jamii yetu halafu nyie mnamuunga mkono kwa hoja nyepesi na za kusikia tu kwenye mitandao kwamba eti Hamza alidhulumiwa. Wapinzani mnajiaibisha sana mbele za Watanzania.
Wazazi pia msizae mtoto kama huyu aliyeleta hii mada
 
Huyo marehemu shujaa Hamza alikua kada kiongozi ndani ya CCM wapinzani wanaingiaje hapo
Swali zuri sana hili.
Sipati picha polisi na serikali kwa ujumla wange react kiasi gani iwapo Hamza angekuwa ACT ama CUF ama CDM. Hakuna rangi wapinzani wangeacha kuona.
 
Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii na kwenye spaces za Twitter zinazoendelea sasahivi za wanaharakati na wanasiasa wa vyama vya upinzani, nimeshtushwa sana na namna viongozi na wanaharakati wa upinzani wanavyomuunga mkono gaidi Hamza aliyeua Watanzania wenzetu 4 na kuwajeruhi watu wengine 6.

Nimeshangaa kuwaona watu wanaojigamba kuipenda nchi hii kama akina Lema, Fatma Karume, Mbatia na wenzao kumshadadia Hamza na kuonyesha kumuunga mkono kana kwamba kafanya jambo la maana na lenye tija kwa nchi. Leo Hamza anapata uungwaji mkono na watu wa upinzani kwa sababu ya kuua askari na Watanzania na kujeruhi wengine. Hii ni aibu na najisi kwa nchi.

Cha kushangaza watu hawa wa upinzani wanamshadadia Hamza kwa kushikilia maneno ya kubumba ya mitandaoni kwamba Hamza alidhulumiwa na polisi. Sasa kama Hamza alidhulumiwa kama wanavyobumba, njia ya kupata haki kwenye nchi hii ni kuchukua bunduki na kuanza kufyatulia watu?

Viongozi na wanaharakati wa upinzani mnaomshadadia na kumsapoti Hamza mnajiabisha sana mbele ya Watanzania na sasa mnajidhihirisha mbele za umma jinsi msivyolitakia mema Taifa hili.

Watu mnaojigamba mnaipenda nchi hii leo mnaibuka kumuunga mkono mtu aliyeleta taharuki kwa nchi, mtu aliyepeleka simanzi na umaskini kwa kuua Watanzania wenzetu ambao walikuwa wanategemewa na familia zao na Jamii yetu halafu nyie mnamuunga mkono kwa hoja nyepesi na za kusikia tu kwenye mitandao kwamba eti Hamza alidhulumiwa. Wapinzani mnajiaibisha sana mbele za Watanzania.
Upupuuu
 
Hi kauli ilitolewa na mtu mwenye akili timamu?
Aliitoa Rais SSH katika mkutano wa hadhara za campaign, wakati akiongelea swala la Tundu Lissu kupigwa risasi, akasema kwamba ingekua ndio askari wametaka kumpiga risasi Tundu Lissu basi wasingempiga risasi 32, wao ni risasi moja au mbili tu. Hawana hulka ya kukosa shabaha.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
UPUUZI MTUPU!!!
Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii na kwenye spaces za Twitter zinazoendelea sasahivi za wanaharakati na wanasiasa wa vyama vya upinzani, nimeshtushwa sana na namna viongozi na wanaharakati wa upinzani wanavyomuunga mkono gaidi Hamza aliyeua Watanzania wenzetu 4 na kuwajeruhi watu wengine 6.

Nimeshangaa kuwaona watu wanaojigamba kuipenda nchi hii kama akina Lema, Fatma Karume, Mbatia na wenzao kumshadadia Hamza na kuonyesha kumuunga mkono kana kwamba kafanya jambo la maana na lenye tija kwa nchi. Leo Hamza anapata uungwaji mkono na watu wa upinzani kwa sababu ya kuua askari na Watanzania na kujeruhi wengine. Hii ni aibu na najisi kwa nchi.

Cha kushangaza watu hawa wa upinzani wanamshadadia Hamza kwa kushikilia maneno ya kubumba ya mitandaoni kwamba Hamza alidhulumiwa na polisi. Sasa kama Hamza alidhulumiwa kama wanavyobumba, njia ya kupata haki kwenye nchi hii ni kuchukua bunduki na kuanza kufyatulia watu?

Viongozi na wanaharakati wa upinzani mnaomshadadia na kumsapoti Hamza mnajiabisha sana mbele ya Watanzania na sasa mnajidhihirisha mbele za umma jinsi msivyolitakia mema Taifa hili.

Watu mnaojigamba mnaipenda nchi hii leo mnaibuka kumuunga mkono mtu aliyeleta taharuki kwa nchi, mtu aliyepeleka simanzi na umaskini kwa kuua Watanzania wenzetu ambao walikuwa wanategemewa na familia zao na Jamii yetu halafu nyie mnamuunga mkono kwa hoja nyepesi na za kusikia tu kwenye mitandao kwamba eti Hamza alidhulumiwa. Wapinzani mnajiaibisha sana mbele za Watanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom