fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,165
- 3,655
Peleka ulofa wako hukoMwananchi gani Ali mpenda?? Labda wasukuma
Peleka ulofa wako hukoMwananchi gani Ali mpenda?? Labda wasukuma
Asante Ila Yuko Mapumzikoni Chato huyo Mungu wenuPeleka ulofa wako huko
Achana na hayo matakataka yaliyototolewa kwenye mikesha ya mwenge, hakuna wanachojua kuhusu udhalimu wa chama hicvho na hasara walioipa nchi yetu Tanzania. CCM ni chuo kinachozalisha viongozi kama Mkapa, Kiwete pamoja na huyo dhalimu mwenda kuzimu aliyelambwa na corona.Tunasema ni CCM maana waliovuta mgao ni wana CCM na hawajaguswa mpaka leo. Imagine Mbowe angepewa hata laki 1 na Seth hivi asingekua amenyongwa? Hakuna kesi ya ufisadi nchi hii ambao mwanasiasa wa CCM ataburuzwa kortini tuliona hilo kwenye makinikia,EGMA,Escrow,lugumi, Kashfa ya Lugola na tenda hewa na hta huyo JPM hakufanya lolote kuwakamata.
CCM ni ileile ndio maana wanalindana
Tundu Lissu siyo consience ya Taifa.View attachment 1942762
Je nini hatma ya wote hawa waliodaiwa kugawiwa hela za Escrow na James Rugemalira wa IPTL?
Je hao watu walioitwa majizi na Mh. Tundu Lissu bungeni ndio tuhuma zilizowakabili zimefutwa na sasa nao hawana hatia?
Je hii ina maana gani zaidi ya kwamba hizo hela walizovuna zilikuwa halali zao!
Je kitendo hicho kimetoa funzo na tafsiri gani kwa wananchi walipa kodi wa taifa hili?
Kuna fukuto la Rugemalila kuishtaki serikali kwa kumfunga bila kumfikisha mahakamani na kutowepo ushahidi wa kutosha.
Hivyo hitimisho laweza kuwa ni kwa serikali (kwa kushirikiana na mpangaji wa ile ghorofa ya nje) kuyamaliza nje ya mahakama na James Rugemalila na malipo kuwa ni siri.
Ila serikali itajifunza kuhakikisha ina vigezo na vielelezo vyote vya ushahidi juu ya mtu yoyote inaemtuhumu kwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha.
Tundu lissu ni nani? Yaani kila pumba anazoengea mnameza tu kawashikia akila nyie mateka wake.View attachment 1942762
Je nini hatma ya wote hawa waliodaiwa kugawiwa hela za Escrow na James Rugemalira wa IPTL?
Je hao watu walioitwa majizi na Mh. Tundu Lissu bungeni ndio tuhuma zilizowakabili zimefutwa na sasa nao hawana hatia?
Je hii ina maana gani zaidi ya kwamba hizo hela walizovuna zilikuwa halali zao!
Je kitendo hicho kimetoa funzo na tafsiri gani kwa wananchi walipa kodi wa taifa hili?
Kwanza hata Rugemalila hakuwai kuwa mwizi tuache janja janja TANESCO WALIPASWA KULIPA KIASI WALICHOMLIPA KWA UZALISHAJI UMEME HATA LISSU MWENYEWE KUNA HOTUBA ANASEMA WAMEONEWA HIVO SOMETIMES SIASA TUZIWEKE PEMBENI!!! Magufuli alikuwa shetani kabisa yan
Hapa umedhihirisha akili yako ni finyu. Tunaposema adui wa nchi hi Ni ccm, ndio tunazungumzia ujumla, ikiwa ni pamoja na uliyemtaja & co; pamoja na wewe na wajinga na wanafiki wengine & co. Huwezi kusema ccm sio mbaya, eti ni baadhi ya wanaccm ndio wabaya. Ccm ni mkusanyiko was fisi- walafi, wezi, watesaji, wauwaji nk. Hakuna lugha nzuri zaidi ya kuwataja Hawa. Nyang'au kabisa Hawa. Angalia Samia, polepole, kabundi etc, wabunge la katiba, uwalinganishe na Samia, polepole na kabundi was Sasa!Ukiwa na akili finyu utasingizia wasioonekana au ujumla ili ufiche umoja. Mfano adui wa nchi hii ni CCM! Hivi una akili kweli? CCM haiwezi kuwa baya bali watu binafsi walio katika CCM. Aliyeasisi Wizi wa Escrow ni JK, unaogopa kumtaja unaitaja CCM. Lazima muondokane na akili za upunguani kuhangaika na ujumla baadala ya umoja ili kuinusuru nchi yetu.
Hata wale mashehe wa uamsho, wasione kuwa kuachiwa kwao ni fadhila. Wana haki ya kushitaki na kudai fidia.Kwa kweli nasubiri kwa hamu kumuona Ruge anachukua hatu gani kwani miaka minne jela si mchezo. Wakati anafunguliwa kesi na kuwekwa ndani SSH alikuwa makamu wa Rais na sasa baada ya corona kumwahi bosi wake karithi kiti na Ruge kaachiwa. Hapo ndipo patamu na ndipo unafiki wa Watanzania unapotia fora! Adui mkuu wa taifa hili hakika ni CCM.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Tundu Lisu usingekengeuka kwa Dkt Magufuli ulipaswa uwe rais siku moja, lakini ukampokea Lowasa, ukageuka kuanza kutetea weziView attachment 1942762
Je nini hatma ya wote hawa waliodaiwa kugawiwa hela za Escrow na James Rugemalira wa IPTL?
Je hao watu walioitwa majizi na Mh. Tundu Lissu bungeni ndio tuhuma zilizowakabili zimefutwa na sasa nao hawana hatia?
Je hii ina maana gani zaidi ya kwamba hizo hela walizovuna zilikuwa halali zao!
Je kitendo hicho kimetoa funzo na tafsiri gani kwa wananchi walipa kodi wa taifa hili?
Jazba ya nini? Jenga hoja kijanaHapa umedhihirisha akili yako ni finyu. Tunaposema adui wa nchi hi Ni ccm, ndio tunazungumzia ujumla, ikiwa ni pamoja na uliyemtaja & co; pamoja na wewe na wajinga na wanafiki wengine & co. Huwezi kusema ccm sio mbaya, eti ni baadhi ya wanaccm ndio wabaya. Ccm ni mkusanyiko was fisi- walafi, wezi, watesaji, wauwaji nk. Hakuna lugha nzuri zaidi ya kuwataja Hawa. Nyang'au kabisa Hawa. Angalia Samia, polepole, kabundi etc, wabunge la katiba, uwalinganishe na Samia, polepole na kabundi was Sasa!
Mkaona hazuiliki, mkammiminia risasi za kuweza kumwangusha tembo lakini Tundu Lissu akaendelea kusimama na badala yake akaanguka yule dhalimu mwendakuzimu na hivi sasa yuko jehanum anateseka...kweli mchimba kisima huingia mwenyewe!😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Tundu Lisu usingekengeuka kwa Dkt Magufuli ulipaswa uwe rais siku moja, lakini ukampokea Lowasa, ukageuka kuanza kutetea wezi
Kwanza hata Rugemalila hakuwai kuwa mwizi tuache janja janja TANESCO WALIPASWA KULIPA KIASI WALICHOMLIPA KWA UZALISHAJI UMEME HATA LISSU MWENYEWE KUNA HOTUBA ANASEMA WAMEONEWA HIVO SOMETIMES SIASA TUZIWEKE PEMBENI!!! Magufuli alikuwa shetani kabisa yan
Alimiminiwa risasi na wazungu waliokuwa wanadhani kufanya hivyo kutaleta machafuko. Lissu was an outsider job poorly executed.Mkaona hazuiliki, mkammiminia risasi za kuweza kumwangusha tembo lakini Tundu Lissu akaendelea kusimama na badala yake akaanguka yule dhalimu mwendakuzimu na hivi sasa yuko jehanum anateseka...kweli mchimba kisima huingia mwenyewe!
Rugemalira na wenzake ni majizi tu hakuna cha msalie. Kinachowasaidia ni sheria mbovuView attachment 1942762