Maandamano Makubwa Yafanyike Kumpongeza Mama Samia Kwa Hotuba Ya Kihistoria Kwenye Baraza Kuu La Umoja wa Mataifa

Ndugu Watanzania

Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye Baraza la Usalama UN

Ndugu Watanzania ukweli ni kuwa Mama Samia ameipaisha nchi yetu ya Tanzania hadi juu kileleni Kwenye medani za kidiplomasia

Ndugu Watanzania naomba tumpatie heshima anayostahili Shujaa wetu kwa kufanya maandamano ya kumpongeza nchi nzima

Ndugu Watanzania nashauri maandamano hayo yaanzie siku ambayo Rais wetu atakayowasili akitokea Marekani

Ndugu Watanzania ili kufanikisha hilo Kamati maalumu iundwe na iongozwe na Waziri Mkuu akiwa Mwenyekiti huku Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Katibu wake

Viva Mama Samia
Viva Tanzania
Viva CCM

View attachment 1951334
TOKA DUNIA IMEUMBWA HIYO NDIO HUTOBA YA KWANZA Ngoja niende zangu BURUNDI Mie
JamiiForums1268831195.jpg
 
Ndugu Watanzania

Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye Baraza la Usalama UN

Ndugu Watanzania ukweli ni kuwa Mama Samia ameipaisha nchi yetu ya Tanzania hadi juu kileleni Kwenye medani za kidiplomasia

Ndugu Watanzania naomba tumpatie heshima anayostahili Shujaa wetu kwa kufanya maandamano ya kumpongeza nchi nzima

Ndugu Watanzania nashauri maandamano hayo yaanzie siku ambayo Rais wetu atakayowasili akitokea Marekani

Ndugu Watanzania ili kufanikisha hilo Kamati maalumu iundwe na iongozwe na Waziri Mkuu akiwa Mwenyekiti huku Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Katibu wake

Viva Mama Samia
Viva Tanzania
Viva CCM

View attachment 1951334
kasikilize hotuba za KABUDI youtube
 
Niliandika Post nikisema wanaccm wanapenda kuzurula hawakubaliani kauri ya mwenyekiti wao "kazi iendelee'.
 
ujinga tu, yaan nan apoteze muda kwenda kumpokea huyo aliedanganya watz wamekubal uhuni wa tozo? huyo ambae weng wa upande ule wamekamatiwa mwenyekit wao na kuhujumiwa unazan watajitoa kwnda mpigia makofi huyo mama yako?

ukwel mchungu mama yenu hana ushawishi, basi tu uruma ya kijinsia ndyo inambeba, or otherwise angeshasagiwa kunguni mapema sana na isingekuwa easy kwa yeye kuwa rais kupitia kupiga kura na akipoteza nafasi hii aitegemee kuipata wala mwanamke kupata maana kaonesha unyonge mkubwa sana na watz hawatarajii kupata kiongoz mnyonge kama huyu.....uselessness
 
Mnyonge anaweza kukupoteza, ukashinda mahakamani? Au akapunguza genge la pole pole?
 
Ndugu Watanzania

Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye Baraza la Usalama UN

Ndugu Watanzania ukweli ni kuwa Mama Samia ameipaisha nchi yetu ya Tanzania hadi juu kileleni Kwenye medani za kidiplomasia

Ndugu Watanzania naomba tumpatie heshima anayostahili Shujaa wetu kwa kufanya maandamano ya kumpongeza nchi nzima

Ndugu Watanzania nashauri maandamano hayo yaanzie siku ambayo Rais wetu atakayowasili akitokea Marekani

Ndugu Watanzania ili kufanikisha hilo Kamati maalumu iundwe na iongozwe na Waziri Mkuu akiwa Mwenyekiti huku Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Katibu wake

Viva Mama Samia
Viva Tanzania
Viva CCM

NView attachment 1951334

Naunga mkono HOJA.....
 
Nimeihusisha hotuba ya mh.Rais juu ya COVID 19...na faida tutakayopata ya "STIMULUS PACKAGE SECONDARY TO THE COVID PANDEMIC" kupewa nchi zetu kipindi hiki....na Royal Tour....

Hakika mh.SSH ni MPAMBANAJI HASWAA......

#SiempreChiefMkuuHangaya
#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
Ndugu Watanzania

Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye Baraza la Usalama UN

Ndugu Watanzania ukweli ni kuwa Mama Samia ameipaisha nchi yetu ya Tanzania hadi juu kileleni Kwenye medani za kidiplomasia

Ndugu Watanzania naomba tumpatie heshima anayostahili Shujaa wetu kwa kufanya maandamano ya kumpongeza nchi nzima

Ndugu Watanzania nashauri maandamano hayo yaanzie siku ambayo Rais wetu atakayowasili akitokea Marekani

Ndugu Watanzania ili kufanikisha hilo Kamati maalumu iundwe na iongozwe na Waziri Mkuu akiwa Mwenyekiti huku Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Katibu wake

Viva Mama Samia
Viva Tanzania
Viva CCM

View attachment 1951334
😍👊💪👍
 
DSM yasifanyike kwani haijulikani hasira zilizo ijaza mioyo ya wamachinga baada ya kuona kitendo walichofanyiwa wenzao wa vingunguti
scania zitamuangukia nani.
Hivi hao wamachinga mnaowabembeleza wana kitu gani cha ziada?? Kodi hawalipi, wanazuia watu wenye maduka kufanya biashara zao kiufanisi hivyo kuipunguzia serikali mapato, Watu wenye maduka hao hao wanawatumia hao machinga kuuza bidhaa zao ili wasilipe kodi, wanasababisha ajali, wanachafua mazingira, watu wanafunga maduka ili wawe machinga kukwepa kodi, wanawasumbua dada zetu wanapoenda kwenye manunuzi kwa kuwazongazonga na kuwapigia miluzi sababu ya ushamba wao, siku hizi hata adabu hawana, wana viburi, Mwendazake sijui aliona kitu gani cha ziada kwa hawa watu!!!! TZ hii kuna wakulima, walimu, manesi, madaktari, wanajeshi, mapolisi, vilema, wafanyabiashara wa aina mbalimbali wanaochangia kodi kubwa, wafugaji n.k.!! Sijaona nguvu kubwa ikitumika kutetea hayo makundi kama nguvu inayotumika kuwatetea hawa wahuni wanaojiita machinga!!!
 
Ndugu Watanzania

Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye Baraza la Usalama UN

Ndugu Watanzania ukweli ni kuwa Mama Samia ameipaisha nchi yetu ya Tanzania hadi juu kileleni Kwenye medani za kidiplomasia

Ndugu Watanzania naomba tumpatie heshima anayostahili Shujaa wetu kwa kufanya maandamano ya kumpongeza nchi nzima

Ndugu Watanzania nashauri maandamano hayo yaanzie siku ambayo Rais wetu atakayowasili akitokea Marekani

Ndugu Watanzania ili kufanikisha hilo Kamati maalumu iundwe na iongozwe na Waziri Mkuu akiwa Mwenyekiti huku Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Katibu wake

Viva Mama Samia
Viva Tanzania
Viva CCM

View attachment 1951334
Hivi umesikiliza hotuba za wote au ya SSH pekee?!!
Kama bado pata muda zisikilize ndio urudi hapa..
 
Ndugu Watanzania

Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye Baraza la Usalama UN

Ndugu Watanzania ukweli ni kuwa Mama Samia ameipaisha nchi yetu ya Tanzania hadi juu kileleni Kwenye medani za kidiplomasia

Ndugu Watanzania naomba tumpatie heshima anayostahili Shujaa wetu kwa kufanya maandamano ya kumpongeza nchi nzima

Ndugu Watanzania nashauri maandamano hayo yaanzie siku ambayo Rais wetu atakayowasili akitokea Marekani

Ndugu Watanzania ili kufanikisha hilo Kamati maalumu iundwe na iongozwe na Waziri Mkuu akiwa Mwenyekiti huku Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Katibu wake

Viva Mama Samia
Viva Tanzania
Viva CCM

View attachment 1951334
Binafsi itanishangaza sana Kama kuna kiongozi atapoteza muda na rasilimali kuwezesha hicho kitu, huko kutakuwa kuwapotezea muda wanachama wenu wa ccm
 
Eheee ... Tueleezee vizuri .... Yani maandamano ya nini?
Hii nchi wagonjwa ni wengi sana na sidhani kama Kuna madaktari waliosomea kutibu huu ugonjwa
Na huu ugonjwa ulianza kipindi Cha Dk Ngumi jiwe
 
Back
Top Bottom