Recent content by Nzengatumbi

  1. N

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nmb toeni maelezo ya ukweli kwa wakulima tangazo lenu mnatoa mikopo kwa wakulima. Mkulima akienda kutaka mkopo wa kilimo mnaona jambo geni kwenu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nakupongeza kwa pongezi sizizo kifani Yaliyokua yanafanyika ulanga na kirombelo. Yanafanyika katika wilaya nyingi za nchini mwetu tanzania wananchi wanyonge hutozwa fedha kwa visingizio kama alivyodokeza waziri mku na kukwepesha ziara za viongozi wa ngazi za ju kutofika kusikiliza kero za...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

    Naomba ushauri kwa kilimo hiki nimedhamilia kulima sasa sifaham aina ipi ya dengu ndio ina soko na soko lipo wapi na mbegu nitapata wapi naomba msaada.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

    Sehem niliopo kilimo cha dengu kinafa naomba msaada niweze kupata mbegu na nzuri zinazoshika soko na soko lipo wapi
  5. N

    JamiiForums Tanzania TCRA msaada, nimechoshwa na SMS za moja spesho

    Hakuna kitu kinaudhi sms za hizo kamari. TCRA msaada
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tamthilia za Azam tv zina Udini

    Tamthilia ni ya wasani sio ya tv na tv hucheza tamthilia yenye maadili ya Taifa letu sio vinginevyo kama unahitaji tamthilia isio na maadili kaitafute sehem nyingine.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Stand kuu Dodoma

    Nia ni kuwakumbusha viongzi wa jiji wajenge vito vya usafiri wa jiji kama DSM
  8. N

    JamiiForums Tanzania Stand kuu Dodoma

    Maendeleo ya ujenzi kuu dodoma unaenda kasi . sasa sumtra imejipanga vipi kuhusu huduma ya usafiri. Wa ndani ya jiji ikiwa pamoja na uongozi wa jiji ukiangalia hakuna maandalizi ya vituo vya daladala mikondo ya safari haifahamiki msafiri akifika hapo stendi hakuna daladala inaogoza anakokwenda ...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nimeandika ushauri hu kwa rais ili aufanyie kazi husasan ukaguzi wa mapato kwa vijiji vyote na miradi iliyomo ukaguzi wa ndani . na ukaguzi wa nje ambao unafanywa na COASCO. Hakuna aliounga hoja lmani yangu kwamba wengi wetu uzalendo hatuna au sijaeleweka.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mh. Rais nakusifu kwa kazi nzuri unayoifanya ya kuinua uchumi ni mzalendo no mmoja pamoja na kuwabana mafisadi na wahujumu uchumi vizuri natoa ushauri ili mizania ya uchmi ikae vizuri na haraka zaidi ili iwiane na kipato cha mwananchi basi liangazie wilayani kuja vijijini kwani huku hakujaguswa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI irudishe mpango wa Vijiji vyote Tanzania vikaguliwe na Wakaguzi wa ndani na nje

    Leo nitoe yangu moyoni kuhusiana na uongozi uliopo baadhi ya Vijiji vyetu na kisha kutoa mapendekezo kuondoa kero kwa wanavijiji. Uonezi uliopo unahusiana na pesa, Mwanakijiji akihoji matumizi mabaya, uongozi wa Kijiji na Kata humuwekea mizengwe. Kuondoa kadhia hii Tamisemi irudishe ule mpango...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Serikali tumbueni viongozi wa BAKWATA

    Bakwata maana ya bakwata. In baraza kuu LA waislam kila muislam anatakiwa kuitambua bakwata na si vinginevyo haijalishi uko dhebu lipi LA kiislam. na imesajiliwa kwa kisheria ya Baraza ufahamu si kitu cha kukikejeri na wiisla anaagiza utiifu kwa uongozi. Ulichosema kinachojiita bakwata sioni...
Back
Top Bottom