Nzengatumbi
Member
- Jul 28, 2018
- 14
- 8
Maendeleo ya ujenzi kuu dodoma unaenda kasi . sasa sumtra imejipanga vipi kuhusu huduma ya usafiri. Wa ndani ya jiji ikiwa pamoja na uongozi wa jiji ukiangalia hakuna maandalizi ya vituo vya daladala mikondo ya safari haifahamiki msafiri akifika hapo stendi hakuna daladala inaogoza anakokwenda . meya ni msomi wa shahada za daraja la juu usisubiri wananchi wapate adha nipo upange..