Nzengatumbi
Member
- Jul 28, 2018
- 14
- 8
Hakuna kitu kinaudhi sms za hizo kamari. TCRA msaada
Niliwahi wapigia huduma kwa wateja wa laini ninayotumia ili wasimamishe hizi meseji kwenye laini yangu na nikauliza kama wao ndio wanaowapatia namba zetu yule mhudumu akakana na akanambia yeye hawezi zuia, eti niwapigie hao tatumzuka nk, nikamwambia nitawapigia kivipi wakati wanatumia "non-numeric number" yaani meseji inaingia na jina tu ukiipiga namba yake haipo! Kiufupi alinikera... Nikajishushia call na sms blocker kwa sasa huu upuuzi nimetupa kule!
Tufuatilie kwa wanasheria tuone uwezekano wa kufanya hivyo,na ninachojiuliza mimi hivi kwanini mamlaka husika hazishughuliki na malalamiko haya mpaka Mh.Rais aingilie kati,sijui nani aliyeturoga kutekeleza wajibu wetu mpaka tusukumwe.Hivi hatuwezi kujiorganize tukawa fungulia jalada hawa watu
e chimbo nikiludi nakupa namba zaoMwenye namba zao huduma kwa wateja atuwekee tuwapigie
e chimbo nikiludi nakupa namba zaoMwenye namba zao huduma kwa wateja atuwekee tuwapigie