Hivi ni simu gani model ya Samsung galaxy nzuri yenye uwezo wa kupiga picha, kuitumia kama cctv na mambo mengine kama hayo?
Bei yake ni she ngapi?
Naomba kujua kwa anayeelewa please.
Ile ni kampuni ya kihuni. Haina leseni ya BOT, ndiyo maana hawauzi madeni. Mie wamenikera miaka miwili naomba balance wanarukaruka tu. Tena makao makuu Yao si pale Mwanza nadhani nyegezi. Wahuni tu. Yule anayejifanya meneja wao ukimpigia simu hata Sasa hivi anasema ametoka kikazi Yuko Arusha na...
Umeongea bila kufikiri. Kila mwalimu Kwa Sasa ana iPad, ndipo walipewa mwongozo wa kutumia ess, kubwa zaidi mwl. Ndiye mtu pekee ana uwezo wa kuutumia mfumo huu kwani yeye ndiye mwenye account na kila kimoja kwenye mfumo. Kubwa zaidi anazishikilia ajili za wengi. Huoni kuwa tayari umeropoka?
Kwanza Pole sana kwa changamoto hiyo lakini hongera kwa kuwa na familia ambayo kijamii ni kipimo cha hekima uliyo nayo na hongera kwa kuwa na kipato japo pengine si kile ulichokihitaji ,lakini yote ni kumshukuru Allah.
Ushauri; Kama umemsoma ukagundua mwenzio anakuwa mchungu , endelea kufanya...
Wana jamii forum habari za wakati huu,, kwema huko?
Naomba kuuliza maswali mawili kwenu, mwenye utambuzi juu yake nisaodie.
Quen.1. Nimeona Lory Fuso fighter lenye plate number nyeupe. Je nayo upo uwezekano wa kupata plate number nyeupe? Maana nilizoea kuona plate number za namna hiyo...
Wakubwa habari za jioni? Poleni na majukumu pia hongereni kwa kazi. Kubwa zaidi Naomba anayejua anisidie hapa. Nauliza lipi ni gari zuri,bora na imara kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail,.
Upatikanaji wa spare, nakadhalika kwa matumizi binafsi Kama vile kwenda kazini. Pia...
Yeyr aligeuka kuwa Kama yule malaika wa Mungu mkuu ambaye alilewa madaraka akaanza kuyatumia vibaya. Kama alitumwa akakamata mtambo wa kuunda fedha banfia hilo Ni jema
Kosa lake ni kuamua kuiba baada ya kumkosa mtuhumiwa aliyeelekezwa kumkamata. Kakiri kosa, kasema aliyoyafanya ni mengi ya...
Mb
Mbowe na elimu zake amefika wakati amepwaya sababu yeye asichukulie Ni mwelewa kuliko watanzania tulio baki. Akachanje familia yake ndipo aje kusema kwa niaba ya walio tayari na siyo wananchi. Akanywe mifaru John yake huko.
Nashauri binti huyo wa kazi asiachiwe na uchunguzi dhidi ya tukio hilo uendeleee maana inaonekana ana habari kubwa zaidi ambazo kama akihojiwa sawasawa anaweza kutoa maelezo ambayo yatatusaidia kupambana na wahalifu wa namna hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.