Wana bodi,
Nauliza yule Mkuu wa Mkoa ambaye alikuwa Arusha baadae akahamia Mwanza ambako huko na madaraka yake ya ukuu wa mkoa alijifanya Mungu mtu sasa hivi yuko wapi?
Nakumbuka aliamrisha polisi wavamie nyumba ya Godbless lema mbunge wa Arusha saa saba ya usiku ili wamkamate kama mhaini au jambazi sugu.
Yuko wapi huyu mtu na kujitutumua kwake kote shauri ya ulevi wa madaraka.
Naomba mtu wa mwisho kumwona mtu huyo aniPM nimfuate nikamsalimie.