Aliyemnyonga mtoto wa mwaka mmoja Arusha asema sio tukio lake la kwanza

Nashauri binti huyo wa kazi asiachiwe na uchunguzi dhidi ya tukio hilo uendeleee maana inaonekana ana habari kubwa zaidi ambazo kama akihojiwa sawasawa anaweza kutoa maelezo ambayo yatatusaidia kupambana na wahalifu wa namna hiyo
Duuh Mungu amuweke salama mtoto
 
Mafanyakazi mengine bwana.. ..kwa kumsaidia apelekwe gelezani aishi huko uko ale ugali na maharage asubuhi uji mpaka umauti umkute. Otherwise wakimuachia ataendelea kupoteza vitoto
... umeshaambiwa ni underage; hakuna case hapo.
 
Duuh!!! Very Sad!!! Hii inanikumbusha mtoto wangu akiwa na miaka 3 alisukumwa na dada wa kazi akajigonga mdomo kwenye jiwe hadi meno mawili ya juu yaling'oka, moja lilitoka on the sport na jingine likaenda kung'olewa hospital...

Tangu muda huo staki kusikia mdada wa kazi...

Watakuja kusema ulimnyanyasa
 
Duuh!!! Very Sad!!! Hii inanikumbusha mtoto wangu akiwa na miaka 3 alisukumwa na dada wa kazi akajigonga mdomo kwenye jiwe hadi meno mawili ya juu yaling'oka, moja lilitoka on the sport na jingine likaenda kung'olewa hospital...

Tangu muda huo staki kusikia mdada wa kazi...
Pole sana mkuu.
 
Acheni uchoyo,jifunzeni kuishi na ndugu zenu.Siwezi kuruhusu mtu nisiye mjua aje kulea mwanangu hata siku moja
Kweli kabisa. Tafuta hata ndugu wa mbali, mlete alee watoto na akifanya kazi vizuri baadae mwendeleze ili nae aweze kujitegemea.
 
Back
Top Bottom