Recent content by nzaghamba

  1. nzaghamba

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto na unyonyaji wa wafanyakazi - Jambo Group of Companies, Shinyanga

    hapo ndipo penye point,asilimia kubwa wabongo tunafeli sana hasa kwenye sales and markerting...ndio maana kampuni nyingi zilizoendelea zimeajiri wakenya sababu wabongo wengi mda wa kuomna kazi ni tofauti na akishazoea kazi
  2. nzaghamba

    JamiiForums Tanzania Miujiza Nepal; Sanamu ya Budha yabaki imesimama imara katikati ya Mafuriko makubwa!

    nope...MUNGU a anajizihirisha kwamba kama huyo sanamu wenu/mungu wenu yupo mbona hajawaokoa na mafuriko!?
  3. nzaghamba

    JamiiForums Tanzania Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

    hv kwani mtu anafuata asili yake kwa baba au kwa mama!? isitoshe mazingira aliyelelewa mtu ndio huakisi kiasi kikubwa asili yake,itoshe kusema Deo ni Mtanzania na ana haki ya kupata ugombea,uteuzi au nafasi yeyote,siku zote mbona hayakusemwa haya kwani ameshahudumu nafasi nyingi za utumishi wa umma
  4. nzaghamba

    JamiiForums Tanzania Wasukuma ni jamii ambayo bado sana kustaarabika

    Duh...
  5. nzaghamba

    JamiiForums Tanzania Mdudu anayesumbua dunia hasa Africa

    The image displays a Hickory Horned Devil, which is the caterpillar stage of the Regal Moth (Citheronia regalis), also known as the Royal Walnut Moth. Appearance: These caterpillars are large, growing up to nearly 6 inches long, and are characterized by prominent, spiky "horns". Harmless...
  6. nzaghamba

    JamiiForums Tanzania Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa!

    kai tiii...koree'nghishuu...
  7. nzaghamba

    JamiiForums Tanzania Urgent - Natafuta kiwanja Dar

    serious...!Airnb chamazi,chanika?
  8. nzaghamba

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe adhabu Kali, wanaume wanaoshika Maungo ya wanawake hadharani kwenye maeneo ya Umma kama Sokoni na Stendi

    cc Dkt. Gwajima D inasikitisha na kuhuzunisha sana swala hili linatakiwa lipigiwe kelele na jamii yote,wanawake waheshimiwe na walindwe kwa wivu mkubwa sana,hata hivyo ninavyojua kwa uelewa wangu mdogo kufanya hivyo kisheria ni shambulio la aibu na adhabu yake siyo kama ulivyosema kwamba...
  9. nzaghamba

    JamiiForums Tanzania Nina miaka mitano sijala UGALI

    ugali wa wazee wetu ulikuwa wa dona,na hakukua na kuku wasiowika wala mayai yasiyorutubishwa
  10. nzaghamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Joffrey Mwankenja achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Lupa

    nileteeni Mtm...
  11. nzaghamba

    JamiiForums Tanzania Ni huzuni kuona jitu zima na akili zake lina-fall in love kama litoto

    kwani wasukuma tuliwakosea nini ninyi wazaramo!?
Back
Top Bottom