Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,618
- 8,060
Ya tangawiz hiiSiyo chai hii kweli
Ya tangawiz hiiSiyo chai hii kweli
DuuuhKama cha kilingeni
Kuna jamaa alikua anaumwa kisukari akakatazwa kula vitu vitamuUgonjwa umekaa patamu, ila mdudu wake ndo mbaya hivo
Acha kupotosha huyo ni mdudu kwenye stage ya lava katika ukuaji yaani "kiwavi"
Mfungulie mmojaHahahaha utaishije sasa ? Na unakufa na utamu wako🤣
Hapo sawaMfungulie mmoja
Sio kijiji
CATTERPILLERNi stage mojawapo ya kipepeo,tusilishane matango
😂😂😂 nimekumiss mme wanguBan imeisha? 😃🤣🤣🤣
Media za siku hizi zimekuwa za hovyo sana...
Lakini kinalika bila shida. Kama kingekuwa kibaya , watu wasingelikishobokea au kukipapatikia kivile.
Umewahi kuiona sura ya ibilisi? Ezekiel 28:17 Moyo WAko ulijivuna Kwa sababu ya UZURI WAko ?Sura kama ya IBILISI
Aisee 🤣🤣🤣😂😂😂 nimekumiss mme wangu