Recent content by nyumbani kuchungu

  1. nyumbani kuchungu

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Uwanja wa Taifa, Ndicho kimemuokoa Ney wa Mitego.

    Ngoja wakamlimboka ndo ajue mkulu hajaribiwi
  2. nyumbani kuchungu

    JamiiForums Tanzania Uko kikazi mkoani Arusha ghafla unasikia Rais amekutumbua

    Omba yasikukute
  3. nyumbani kuchungu

    JamiiForums Tanzania Dar: TPA yazuia Makontena 262 yenye Mchanga wa Madini MOFED Kurasini

    Uko sawa tarifa ulisema ameenda kuhakiki kama yapo na akajiridhisha yapo
  4. nyumbani kuchungu

    JamiiForums Tanzania Dar: TPA yazuia Makontena 262 yenye Mchanga wa Madini MOFED Kurasini

    Nafuu sister waache upotoshaji
  5. nyumbani kuchungu

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Habari Ikulu mwambieni Rais haya kabla ya kulaumu vyombo vya habari

    Ndo maana naipenda jf ina watu ukisoma post zao unaelimika kwelikweli
  6. nyumbani kuchungu

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

    Anzisha TV station yako halafu uripoti mambo ya Jpm tu .ya azam hayakuhusu
  7. nyumbani kuchungu

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe kupewa wizara; sitashangaa vyombo vya habari kudhibitiwa

    Kama alidiriki kusema ndoa mpaka uwe na cheti cha kuzaliwa 'atasema hakuna kurusha habari bila serikali kuipitia maana sidhani kama kichwa yake inawaza muzuri kama mwanzo
  8. nyumbani kuchungu

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Ikulu: Serikali yakanusha kuwa itafuta Matumizi ya mitandao ya kijamii nchini

    Sheria ya mitandao haitoshi mnataka mufunge na mikufuli yenu
  9. nyumbani kuchungu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

    Ko Anataka aandikwe yeye tu akiandikwa mwingine roho inamuuma
  10. nyumbani kuchungu

    JamiiForums Tanzania Watu sita mbaroni kwa kumuua askari kwa mapanga baada ya kumuitia mwizi

    Police nao wamezidi viherehere aliona yuko bilabila akataka akapate vijisenti kwa wauzaji gongo! Wakamlipa mshahara wake
  11. nyumbani kuchungu

    JamiiForums Tanzania CCM: Kinana hataongea na wandishi wa habari, yupo nje ya Nchi

    Wazanzibar tunasema ameufyata
  12. nyumbani kuchungu

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Bwana Mwigulu komesha kabisa huu ufirauni haukubaliki kabisa.unaulizwa Kitambulisho unatishia bastola tena hadharani au kwa vile mfalme aliamuru tuwaogope kama jwtz
  13. nyumbani kuchungu

    JamiiForums Tanzania TFF wapongeza uteuzi wa Mwakyembe

    Naona wakina Mali hizi wameanza kujikomba
Back
Top Bottom