Kilichotokea Uwanja wa Taifa, Ndicho kimemuokoa Ney wa Mitego.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Kitendo cha Mh Mwakyembe kuzomewa huku Nape kushangiliwa siku ya jumamosi uwanja wa Taifa halikuwa jambo la kawaida.

Lazima lilimpa Rais wetu msukumo wa kujitathmini juu ya maamuzi ayafanyayo.

Watanzania wengi wanajiuliza hivi leo Rais wao kaota nini mpaka kafanya maamuzi adimu kama ya leo. ( naamini ni mara ya kwanza kufanya maamuzi ya namna hii).

Zipo sababu kuu tatu zilizomsukuma Rais kufanya haya maamuzi kutokana na tukio la Jumamosi.

1. Kama Ney angepata dhamana hivi leo, basi angetoka kwa kupokelewa kwa mbebwe na mashabiki wake huku akionekana kuwa shujaaa (hero). Mpaka sasa Rais kaishatengeneza mashujaa wakubwa wawili. NAPE na Mange K. Sasa leo anngechelewa kidogo tu, Angeongeza shujaa mwingine wa tatu.

2. Kumsafisha Mwakyembe.
Kuzomewa kwa mwakiyembe kumempa picha kuwa yeye na chaguzi zake hazikubaliki. Ili kumsafisha na kumtaftia kiki Mwakiyembe, imemsukuma kumwachia huru Ney ndyo maana baada ya Rais kutoa Ruhusa na mwakyembe katokelezea kwenye press. Nikimaanisha, ilikuwa scriptes.

Kama Ney angeendelea kuwekwa ndani nakupigwa burn, Mwakiyembe naye angezidi kuchukiwa na Raia maana Tabia yake ya ndyo mzee hta mtu aliyepo kolomije anaijua.

3. Tukio la Jumamosi limeonesha kuwa watu wanachukia sasa serkali ya Magufuli sababu ya ubabe. Ndyo maana kashangiliwa Nape ingawa ni CCM. Ninauhakiki hili tukio lilimfanya Rais apate sleepless night. Ili kupunguza chuki. Kaanza kupunguza makali kuanzia kwa Ney.

Mimi nampongeza Rais kuanza kutambua kuwa ananguvu kubwa ila anabidi ajue kujiwekea mipaka ya nguvu aliyonayo.

Hongera Rais kwa kutambua kuwa serikal yako inahitaji kukosolewa.
 
Ameitwa akamshirikishe kwenye remix si wajua mkulu now hajui aifanyie nn nchi so anaenda na yeye kwa matukio. Hapa ndio namuheshimu Mkapa. He was busy na nchi na sio haya ya muziki sijui mange sijui movie yeye alikuwa busy nanserious issue sio kutafuta front page coverage.....Ingawa alijiuzia mgodi
 
Ameitwa akamshirikishe kwenye remix si wajua mkulu now hajui aifanyie nn nchi so anaenda na yeye kwa matukio. Hapa ndio namuheshimu Mkapa. He was busy na nchi na sio haya ya muziki sijui mange sijui movie yeye alikuwa busy nanserious issue sio kutafuta front page coverage.....Ingawa alijiuzia mgodi
Kipindi cha mkapa hakukuwa na twitter wala whatsapp wala fb n.k
Usilinganishe kizazi kile na hiki cha sasa.
 
Huyo Nape alienda kufanya nini huko km sio Show off' look here this is what you are going to miss' the truth is you are not a minister anymore, the pain,you have to bear when you go to bed lol
 
Back
Top Bottom