Alichoshauri Rais mstaafu George Bush kwa Rais Magufuli

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,892
16,413
Tafadhali sikiliza mp3 nimeweka hapo chini kabisa ya andiko langu. Hii sound bite nimeitoa katika hotuba ya rais Bush alipokuwa anahutunia UN November 10, 2001

"And every nation must have avenues for the peaceful expression of opinion and dissent. When these avenues are closed, the temptation to speak through violence grows"

Kama viongozi wakubwa wa dunia waliliona hili tangu mwaka 2001 (miaka 16 iliyopita), kwanini kwake linakuwa ni mtihani mgumu leo hii???

NB: Mimi ni free speaker na sio mfuasi wa chama chochote kila cha siasa.....
 
Attachments

  • President Bush Tells UN We Cannot Tolerate Outrageous 911 Conspiracy Theories.mp3
    376.5 KB · Views: 75
Ubabe huzaa ubabe tu.
Tanzania ni nchi ya amani na utulivu kwa sababu wananchi hawana hulka za ubabe, unapoanza kuzi-cultivate hulka hizi matokeo yake nchi kila mtu anaanza kuota sharubu

Ila ni kweli kabisa kuwa safari hii Watanzania mmepata Rais aiseee.
 
Tafadhali sikiliza mp3 nimeweka hapo chini kabisa ya andiko langu. Hii sound bite nimeitoa katika hotuba ya rais Bush alipokuwa anahutunia UN November 10, 2001

"And every nation must have avenues for the peaceful expression of opinion and dissent. When these avenues are closed, the temptation to speak through violence grows"

Kama viongozi wakubwa wa dunia waliliona hili tangu mwaka 2001 (miaka 16 iliyopita), kwanini kwake linakuwa ni mtihani mgumu leo hii???

NB: Mimi ni free speaker na sio mfuasi wa chama chochote kila cha siasa.....

Mimi binafsi najiuliza ni uhuru gani wa mawazo tunao ukosa! Kama wa lugha na maneno ya kukebehi, kufitinisha, kudharau na aina hiyo, ni uhuru ambao siyo tu hauna mipaka ila pia ni uhuru wa mawazo ya kihuni na utoto.

Kuna michango mingi inatolewa ya kupongeza na kukosoa na haijazuiliwa kamwe.

Uhuru wa mawazo ni kama huu tulionao JF, japo tunavuka mipaka kwa kutumia lugha isiyofaa.

Inabidi tukubali nchi iligeuka kuwa ya wezi na wahuni tu kiasi tukakubali kutiana vidole machoni.
 
Mimi nimeshaanza maombi Ili Bunge litusaidie kumpumzisha huyu Mzee before 2020, Kwa tabia yake hii wananchi watakosa uvumilivu na kuingia kwenye machafuko; ni afadhali tuingie gharama ya kufanya uchaguzi mwingine ili tuirudishe nchi yetu kwenye msingi wake wa haki, usawa, utu, kuvumiliana na kuheshimiana kuliko madhara tutakayoyapata kama nchi ikiwa huyu bwana ataendelea kwa style hii ya uongozi.
 
Kila kimtokacho mwanadamu hakika kimo ndani yake, na kama kimo ndani yake ina maana aliyemuumba ndiye alikiweka hivyo mwanadamu mwenzie hawezi kukicontrol au kukizuia!
Linalobaki hapo ni kuwa kama unapenda sifa basi tenda yale yaletayo sifa ili wakiyasema uone fahari, na kama ni mtenda mema hata wakikusema mabaya basi lipo suala la muda litaamua na wasikilizaji wataujua ukweli!
Itakuwa ngumu sana polisi kupambana na fasihi tena iliyowakilishwa na wasanii.
 
Tafadhali sikiliza mp3 nimeweka hapo chini kabisa ya andiko langu. Hii sound bite nimeitoa katika hotuba ya rais Bush alipokuwa anahutunia UN November 10, 2001

"And every nation must have avenues for the peaceful expression of opinion and dissent. When these avenues are closed, the temptation to speak through violence grows"

Kama viongozi wakubwa wa dunia waliliona hili tangu mwaka 2001 (miaka 16 iliyopita), kwanini kwake linakuwa ni mtihani mgumu leo hii???

NB: Mimi ni free speaker na sio mfuasi wa chama chochote kila cha siasa.....
Ujumbe mzuri sana kwa kiongozi aliyetayari kuufuata sasa kazi kwake. Kuzuia uhuru wa habari na mitandao ya jamii kwa sasa ni sawa na kuuzuia mto rufiji kwa kutumia chandarua ya mbu
 
Kila kimtokacho mwanadamu hakika kimo ndani yake, na kama kimo ndani yake ina maana aliyemuumba ndiye alikiweka hivyo mwanadamu mwenzie hawezi kukicontrol au kukizuia!
Linalobaki hapo ni kuwa kama unapenda sifa basi tenda yale yaletayo sifa ili wakiyasema uone fahari, na kama ni mtenda mema hata wakikusema mabaya basi lipo suala la muda litaamua na wasikilizaji wataujua ukweli!
Itakuwa ngumu sana polisi kupambana na fasihi tena iliyowakilishwa na wasanii.
True
 
Mimi binafsi najiuliza ni uhuru gani wa mawazo tunao ukosa! Kama wa lugha na maneno ya kukebehi, kufitinisha, kudharau na aina hiyo, ni uhuru ambao siyo tu hauna mipaka ila pia ni uhuru wa mawazo ya kihuni na utoto.

Kuna michango mingi inatolewa ya kupongeza na kukosoa na haijazuiliwa kamwe.

Uhuru wa mawazo ni kama huu tulionao JF, japo tunavuka mipaka kwa kutumia lugha isiyofaa.

Inabidi tukubali nchi iligeuka kuwa ya wezi na wahuni tu kiasi tukakubali kutiana vidole machoni.
uhuru gani huu wa vitisho na kamatakamata?
 
Tafadhali sikiliza mp3 nimeweka hapo chini kabisa ya andiko langu. Hii sound bite nimeitoa katika hotuba ya rais Bush alipokuwa anahutunia UN November 10, 2001

"And every nation must have avenues for the peaceful expression of opinion and dissent. When these avenues are closed, the temptation to speak through violence grows"

Kama viongozi wakubwa wa dunia waliliona hili tangu mwaka 2001 (miaka 16 iliyopita), kwanini kwake linakuwa ni mtihani mgumu leo hii???

NB: Mimi ni free speaker na sio mfuasi wa chama chochote kila cha siasa.....

If you really live in this planet tell us. Who are the causers of many Violence's in this world? The people u have mentioned were have intervened peacefully to date? , so whatever is spoken is not what it is. Be objective and research.
 
uhuru gani huu wa vitisho na kamatakamata?
Lugha ya matusi inayoandikwa humu, kama isingekuwa 'ID fake' wengi tungefikishana mahakamani. Lakini bado Mods wanaruhusu kuchapishwa na Serikali haichukui hatua.

Ila Rais kaagiza, na mwisho wake matusi uko karibu.
 
Bush who? Ungejua anavyodharaulika miongoni mwa marais waliowahi kutawala nchi zao duniani usingejiegemeza kwake.
 
Tafadhali sikiliza mp3 nimeweka hapo chini kabisa ya andiko langu. Hii sound bite nimeitoa katika hotuba ya rais Bush alipokuwa anahutunia UN November 10, 2001

"And every nation must have avenues for the peaceful expression of opinion and dissent. When these avenues are closed, the temptation to speak through violence grows"

Kama viongozi wakubwa wa dunia waliliona hili tangu mwaka 2001 (miaka 16 iliyopita), kwanini kwake linakuwa ni mtihani mgumu leo hii???

NB: Mimi ni free speaker na sio mfuasi wa chama chochote kila cha siasa.....
Huyu anatakiwa The Hague kwa vita vya Iraq.
 
George Bush - war criminal naye anaongea nini? Aliyomfanyia Saddam ni unyama na leo hii Middle East nzima imewaka sababu ya ujinga wake. Anatakiwa kuwa gerezani huyu sema tu The Hague ni kwa ajili ya viongozi wa Waafrika na vinchi vingine vidogo vidogo visivyo na nguvu.

Nimemsikia pia akimkoromea Trump aache kuvibana vyombo vya habari na kuvidharau...
8d1eba8bb685b5ff133f04751f1f8879.jpg
 
... kumbe hiyo kamba ya katani ililimwa mkoani Tanga!!!
 
Back
Top Bottom