Nape amekua rafiki yangu na urafik hauja aanza leo ni toka mwaka 2004 wakati anajiandaa kugombea uwenyekiti vijana ccm
Alikua nimtu wakutengeneza hoja mtu aliyekua na hofu ya Mungu, na mwenye kuamin anacho kiamin
Lkn pindi alipo ingia kwenye ukatibu iwenezi akawa sio Nape ninae mfaham..mpayukaji,jeuri
Lkn chaajabu alipo pewa wizara na kustaafu kile kitengo ambacho alimuachia Pole Pole
Mambo yakawa tofauti kabisa
Sasa nikawa na muona Nape yule wa kipindi kile 2005, mwenye hekima, ambae hayumbishwi na anacho kiamini