Mwakyembe kupewa wizara; sitashangaa vyombo vya habari kudhibitiwa

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Wala sitashangaa endapo mitandao ya kijamii na vyombo vingine vya habari kudhibitiwa chini ya Mwakyembe ukizingatia kuwa huyu jamaa huwa hana msimamo binafsi Bali huwa anapambana kutafuta namna ya kuungwa mkono na aliyemteuaa

Stay tuned Leo kaapishwa na kwa Mara ya kwanza utashangaa alivyojibu swali La clouds
 
Kama alidiriki kusema ndoa mpaka uwe na cheti cha kuzaliwa 'atasema hakuna kurusha habari bila serikali kuipitia maana sidhani kama kichwa yake inawaza muzuri kama mwanzo
 
Eti magufuli kachukizwa na Heading za magazeti ya leo, Anadai jamaa aliyetoa bastola alifanya hivyo kwa utashi wake , serikali haihusiki na kile alichofanya.
 
Sizonje anakosa busara! Aombe sana Mungu ampe busara hata uzeeni zimsaidie muda uliobakia!! Asikubalii kukosa kabisa kupewa busara!! Akifa bila busara........
Eti magufuli kachukizwa na Heading za magazeti ya leo, Anadai jamaa aliyetoa bastola alifanya hivyo kwa utashi wake , serikali haihusiki na kile alichofanya.
 
Wala sitashangaa endapo mitandao ya kijamii na vyombo vingine vya habari kudhibitiwa chini ya Mwakyembe ukizingatia kuwa huyu jamaa huwa hana msimamo binafsi Bali huwa anapambana kutafuta namna ya kuungwa mkono na aliyemteuaa

Stay tuned Leo kaapishwa na kwa Mara ya kwanza utashangaa alivyojibu swali La clouds
Tokea uanze kujitambua na kujielewa umeshangazwa na mangapi maishani mwako!?
 
Back
Top Bottom