Recent content by Nyoter

  1. Nyoter

    JamiiForums Tanzania January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    Yote yanawezekana, ukiangalia nafasi yake ya kusiasa ndani ya ccm, matarajio walio kua nayo wafuasi wake, namna serikali inavyoendeshwa kwa sasa, pamoja na namna wengi wanavyo muelezea juu ya hulka zake alafu ukaunganisha na izoo post! unaweza ukapata tafsi hata kama ni kwa asilimia chini ya...
  2. Nyoter

    JamiiForums Tanzania January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    Tafsiri ya picha za namna hii hua inapatikana kutokana na mtu alieipost, wakati pamoja na nafasi yake katika jamii. Nini kimemfanya akapost?. kabla ya kupost alipata wazo! Post yake inaonyesha kinacho tawala mind yake kwa sasa.
  3. Nyoter

    JamiiForums Tanzania Small scale beer production

    Kwa maelezo na msaada zaidi tuwasiliane.
  4. Nyoter

    JamiiForums Tanzania Small scale beer production

    Mkuu, Kifupi nikwamba, rice beer itakua ni new product katika nchi yetu, watu walio bobea kwenye maswala ya marketing watakusaidia namna ya kufanya product penetration na mengine ya kufanana na hayo uweze kuuza.product yako. Rice beer inawezekana kutengenezeka pale utakapo shirikiana na...
  5. Nyoter

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sasa, Rais Kikwete amechoka

    Hua najiuliza maranyingi, washauri wa ikulu pamoja na watoa taarifa za ikulu hua hawayaoni haya? Wanafanya makusudi au uwezo wao mdogo!?.
  6. Nyoter

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange ni mzima, puuzeni uzushi uliosambazwa

    Kwanin uaminike wewe na wasiaminike wao!?Taarifa kama hizi inapendeza kama utakua unatoa na chanzo chake.
  7. Nyoter

    JamiiForums Tanzania Lwakatare mgonjwa, alazwa Bukoba Mjini

    Mungu amfanyie wepesi.
  8. Nyoter

    JamiiForums Tanzania Kiwanda gani kidogo unachoweza kuanzisha?

    Pia unaweza anzisha kiwanda cha kutengeneza wine. Mimi ni mtaaluma katika field hiyo, karibu
  9. Nyoter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kubadili dini naogopa wazazi wangu

    Wakati mwingine ukiweka bandiko kama hili andika kwanza miaka yako.
  10. Nyoter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakaka jipangeni kwa wapenzi wenu kuepuka kugongewa

    Nani kakwambia dawa ya kutochapiwa nikuhonga?
  11. Nyoter

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa Nape Jimbo la Mtama Selemani Mathew Luwongo, ahamia CHADEMA

    .. m. Ag'szx, byt.om
  12. Nyoter

    JamiiForums Tanzania Magufuli na mradi wa laptop kwa kila mwalimu,hivi tatizo ni ukosefu wa laptops?

    Unaweza kuwa mtendaji mzuri wa mambo unayo pangiwa, ila mbovu wa kupanga mambo ya kutenda.
  13. Nyoter

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Kuna kitu kama kidot vile au kiupele ambacho hua tunaota sehem mbalimbali za mwili, Hua vinaota vyenyewe na wakati mwingine hua vinakuja kupotea vyenyewe. Hivi hua ukijaribu kuviondoa au ukakikata kinatoa damu sana. Kikiota sehemu ya katikati ya uke/uume na mk*nd hua kana madhara katika...
  14. Nyoter

    JamiiForums Tanzania Taifa la pwagu na pwaguzi?

    Serikali imemtoa kafara katka tamko lake. Pole sana Dr. Zakaria
Back
Top Bottom