Kiwanda gani kidogo unachoweza kuanzisha?

Kiwanda gani kidogo unachoweza kuanzisha?

Nitafute na no 0766-088461.me mwenyewe nipo katika kuanzisha kiwanda..ko..tuwasiliane tubadilishane mawazo mkuu
 
mtaki ni milion kumi nataka nianzishe kiwanda kidogo kipi naweza kufanikiwa

unaweza kuanzisha kiwanda cha kutengeneza vyakula vya kuku, samaki na wanyama na ndege mbalimbali , pia unaweza kuanza biashara ya ufuta kama mtu wa katikati ,biashara ikikolea unanunua mashine unakamua ufuta mwenyewe mbele zaidi unaweza kulima kabisa mwenyewe , kama utaona ni sahihi naomba unifikirie na mimi niko tu mtaani baada ya kuhitimu shahada ya manunuzi na ugavi mwezi uliopita, natanguliza shukrani
 
1. Kiwanda CHA kupasua mbao
2. Nunua vyerehani 10+ ita mafundi washone nguzo
3. Nunua mashine 3 za kusaga karanga tengeneza peanut butter
 
Anzisha kiwanda cha kusaga na kuuza Unga wa Mahindi (sembe) hakika hautajuta. mtaji wake utaenda kwenye milioni 8 au 9 kama upo Dar eneo murua ni Manzese au Gongolamboto. kila la kheri mkuu
 
Pia unaweza anzisha kiwanda cha kutengeneza wine. Mimi ni mtaaluma katika field hiyo, karibu
 
Anzisha kiwanda cha kusaga na kuuza Unga wa Mahindi (sembe) hakika hautajuta. mtaji wake utaenda kwenye milioni 8 au 9 kama upo Dar eneo murua ni Manzese au Gongolamboto. kila la kheri mkuu
Samahani,unaweza ukafafanua japo kwa uchache huo mtaji wa 8m-9m ni kuanzia ununuzi wa mashine na vinginevyo au mahindi pekee na unasagisha kwa watu?
Unaweza ukaeleza gharama za uendeshaji maana kuna gharama hazizungumzwi (cost analysis).
Kifupi mi nipo Manzese na nafikiria kuanza hii biashara ila naplan kuwa na mashine zangu nisage kwangu kwa Quality niitakayo Grade A.
 
Kiwanda cha kufungasha karanga. I assume mtaji wako ni mdogo sana. Otherwise weka kiwango chako cha mtaji tujue namna ya kukushauri...
 
1. Kiwanda CHA kupasua mbao
2. Nunua vyerehani 10+ ita mafundi washone nguzo
3. Nunua mashine 3 za kusaga karanga tengeneza peanut butter
MASHINE ZAKUSAGA PEANUT BUTTER ZINAPATIKANA WAPI NA KWA GHARAMA GANI JAPO KWA MAKISIO TU MKUU
 
Kuwa na mashine ya saizi ya kati ya kukamua alizeti. kuna soko kubwa hasa mashuleni. Nitafute kwenye 0713-039875, nimefanya business plan ya vitendo.
 
Back
Top Bottom