The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,653
Sisi kweli ni kama taifa la pwagu na pwaguzi....
yaani nchi nzima imesimama kufuatia mgomo wa madereva
watu wameshindwa kusafiri...wagonjwa na wafiwa achilia mbali biashara zilizo simama
halafu anakuja waziri anasema 'serikali halilitambui agizo la mkuu wa chuo cha usafirishaji'
sasa kama huyu mkuu wa chuo agizo lake halitambuliwi ilikuwaje
jeshi la polisi lishinikize hao madereva walitii hilo agizo?
na je maagizo ya nyuma waliyokuwa wanayatii je? serikali iliyatambua?
je hatua gani zitachukuliwa kwa mtu huyu kutoa maagizo ambayo serikali haiyatambui?
je kwingine kote ambako maagizo yanatolewa kila mara wananchi wanajuaje hayo ni maagizo ya serikali au sio?
sasa haya yoote kama sio kuthibitisha 'taifa la pwagu na pwaguzi' ni nini?