Lwakatare mgonjwa, alazwa Bukoba Mjini

Lwakatare mgonjwa, alazwa Bukoba Mjini

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,629
Reaction score
6,816
Wakuu,

Kwa taarifa za uhakika nilizo nazo ni kuwa Ndg Lwakatare wa CHADEMA ni mgonjwa na kalazwa.

Ndugu Lwakatare amelazwa toka jana na yupo hospitali ya Ndolage ya mjini Bukoba.

Taarifa zaidi, watu ndani ya CHADEMA watafafanua nini kinamsibu.
 
Mungu ampe nafuu aje kushuhudia Wa Tz wanamkataa Fisadi
 
Entare ya Bukoba kweli amelazwa ila Mungu yuko nasi atapona makamanda
 
Mkuu tang'ana, kesho yako huijui.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom