Nimeamini sasa, Rais Kikwete amechoka

Nimeamini sasa, Rais Kikwete amechoka

Na siku nyingine alimnadi mgombea kama mwanamke ilihali ni mwanaume. Akashtuka akasema kumbe mwanaume Huyu.
 
waziri mkuu nae ameshangaa sana maana TV zilimsahau muda mrefu
 
Makamanda ebu acheni matani hivi JK na Lowassa nani kachoka.

Lowassa anatamani sana kulipa zile pushup sema tu ndo hivyo...., Wagombea wa Chadema ngazi ya Urais 2010 na 2015 mikono yao ya kulia imepooza
 
Kupitia taarifa ya habari ya ITV usiku huu nimesikia kwamba Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambi rambi Waziri mkuu mh. Mizengo Pinda kutokana kifo cha aliyekuwa mbunge wa Ulanga na waziri katika ofisi ya rais utumishi Mh. Celina Kombani.
Sasa najiuliza hivi nani ni mfiwa hapo?
1. Huyu ni mteule wa rais kwa maana ya waziri.
2. Huyu ni waziri anayefanya kazi katika ofisi ya Rais ambayo kimsingi ndiye Mh. Kikwete.
3. Mjumbe katika baraza la mawaziri ambalo Mh. Kikwete ni mwenyekiti.
4. Mwanachama na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM chama ambacho Mh. Rais Kikwete ndiye mwenyekiti wake.
Sasa salamu hizo za rambi rambi kwa waziri mkuu zinamantiki ipi?
Hebu watu wa itifaki tusaidiane hapa.

Yawezekana amesahau kwamba yeye ni raisi akijua ni pinda.
 
Uchovu kiutendaji kamanda na si vinhinevyo. Acheni kabisa kuzungumzia afya za watu. Hata Mungu hapendi.
Wapi nimezumguzia afya ya mtu hayo mambo mnafanya nyie Bavicha.

Mimi najua kuwa maradhi yanamkuta binadamu yeyote wala hamna anayeomba maradhi.

Uwezi kunisoma hata siku moja naleta kejeli kwenye maradhi ya binadamu mwenzangu hata siku moja.
 
Hua najiuliza maranyingi, washauri wa ikulu pamoja na watoa taarifa za ikulu hua hawayaoni haya? Wanafanya makusudi au uwezo wao mdogo!?.
 
labda ajui marehemu alikuwa wizara gani. Mziki wa lowassa sii wa kitoto. Magamba wamepoteana sana

kweliiii mkuu!! Ziki na si mziki tena wa mkuu el si wa kawaida!!! Watu (ccm) mijasho hadi kwenye meno!!!

Usimpimie kabisa our president el!!!
 
Hata gazeti LA Chama LA Uhuru halikuipa uzito wowote hii habari kama ilivyofanya Tanzania daima.
 
Kitengo cha habari ndio wamechemsha. Press release huandikwa na wao
 
Kupitia taarifa ya habari ya ITV usiku huu nimesikia kwamba Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambi rambi Waziri mkuu mh. Mizengo Pinda kutokana kifo cha aliyekuwa mbunge wa Ulanga na waziri katika ofisi ya rais utumishi Mh. Celina Kombani.
Sasa najiuliza hivi nani ni mfiwa hapo?
1. Huyu ni mteule wa rais kwa maana ya waziri.
2. Huyu ni waziri anayefanya kazi katika ofisi ya Rais ambayo kimsingi ndiye Mh. Kikwete.
3. Mjumbe katika baraza la mawaziri ambalo Mh. Kikwete ni mwenyekiti.
4. Mwanachama na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM chama ambacho Mh. Rais Kikwete ndiye mwenyekiti wake.
Sasa salamu hizo za rambi rambi kwa waziri mkuu zinamantiki ipi?
Hebu watu wa itifaki tusaidiane hapa.

Nakulebisha mkuu! Siyo 'amechoka', bali limechoka
 
UKAWA ya EDO imemchanganya sana...sasa hakumbuki kuwa serikali hii na Mawaziri wote ni ya kwake, nahisi anadhani tayari anaongoza chama cha upinzani, ambacho PM ni kama M/Kiti wa KUB, ndiyo maana kamtumia Rambirambi badala ya kumtumia Spika au kutuma Official Press kwa Umma kama Rais!! Hali mbaya sana humooo...kwa nje hatuoni tu!
 
Labda amemtumia rambirambi hizo sababu yeye yupo nje ya nchi na mikoba yote kamwachia mh pinda, asingweza kumtumia makamu wake sababu yeye kazi yake ni mazingira tu
 
Mtoa post hujielewi rais kumtumia salamu za rambi rambi waziri mkuu haimaanishi kuchoka bali ni utaratibu wa kimajukumu kwani mawaziri wote wapo chini ya waziri mkuu kama hujui taratibu za kiuongozi basi lwo uelewe hivyo usikurupuke siku nyingine

Kweli jamaa hajielewi kabisa. Unaweza kukuta hata hajui kuwa mawaziri huteuliwa na waziri mkuu.
 
Mbona mnakurupuka, Mtendaji mkuu wa baraza la mawaziri ni Mh Pinda, shughuli zote za mawaziri zipo chini yake hivo taarifa kama hiyo ya Mh Rais Kikwete ipo sahihi kiprotocal. Kwa taarifa yenu angekuwa ni mbunge wa kawaida salaam za pole mtu wa kwanza kupewa huwa ni Spika wa Bunge. Sasa nyie mnalishana mataongo pori tupu.
Ni kweli kwa mbunge ni sahihi kwa sababu rais haingii hapo. Lakini kwa Waziri ni yeye rais ndiye mfiwa na familia ya marehemu ikiwa ya kwanza. Waziri mkuu hasimamii baraza la mawaziri bali shughuli za serikali na hasa bungeni...soma Katiba. Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri ni Rais na mawaziri wanateuliwa na rais kama washauri wake wakuu. Pamoja na hiyo huyu alikuwa ni waziri ndani ya Ofisi yake, anaripoti moja kwa moja kwake. Sijui ni nani kakurupuka kati yako na sisi tunaoshangaa!
 
Mbona mnakurupuka, Mtendaji mkuu wa baraza la mawaziri ni Mh Pinda, shughuli zote za mawaziri zipo chini yake hivo taarifa kama hiyo ya Mh Rais Kikwete ipo sahihi kiprotocal. Kwa taarifa yenu angekuwa ni mbunge wa kawaida salaam za pole mtu wa kwanza kupewa huwa ni Spika wa Bunge. Sasa nyie mnalishana mataongo pori tupu.

We amka kijana, yeye ndiye bosi wa baraza la mawaziri hawezi kumtumia pinda acha ujinga.
 
Kupitia taarifa ya habari ya ITV usiku huu nimesikia kwamba Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambi rambi Waziri mkuu mh. Mizengo Pinda kutokana kifo cha aliyekuwa mbunge wa Ulanga na waziri katika ofisi ya rais utumishi Mh. Celina Kombani.
Sasa najiuliza hivi nani ni mfiwa hapo?
1. Huyu ni mteule wa rais kwa maana ya waziri.
2. Huyu ni waziri anayefanya kazi katika ofisi ya Rais ambayo kimsingi ndiye Mh. Kikwete.
3. Mjumbe katika baraza la mawaziri ambalo Mh. Kikwete ni mwenyekiti.
4. Mwanachama na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM chama ambacho Mh. Rais Kikwete ndiye mwenyekiti wake.
Sasa salamu hizo za rambi rambi kwa waziri mkuu zinamantiki ipi?
Hebu watu wa itifaki tusaidiane hapa.

Vasco da Gama alitakiwa akatishe ziara na kurudi nyumbani kwani kafiwa na waziri. Leo angeoza watanzania kupokea mwili wa mpendwa wetu. Lakini dagama kagoma kukatisha ziara huko Marekani matokeo yake anamtumia Pinda Salaam za pole utafikiri Pinda kafiwa na mwanae
 
Back
Top Bottom