Recent content by nyota79

  1. N

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    L Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    TARURA Kilosa imeozwa kwa rushwa

    Nashukuru nitamshauri kufanya hivyo
  3. N

    TARURA Kilosa imeozwa kwa rushwa

    Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini wilaya ya Kilosa imepewa dhamana ya kusimamia matengenezo ya barabara za wilaya ya kilosa. Meneja wa Tarura Injiniya Sawake na msaidizi wake Injiniya Munyanga ndio vinara wa kuomba rushwa kwa wakandarasi ili wawape tenda za barabara. Nimekuwa karibu na...
  4. N

    Je mwanamke huyu nimchukulie hatua fulani?

    shule hazijafunguliwa tu?
  5. N

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Wakuu naomba mwenye listi ya vitabu vinavyoelezea kuhusu forex trading
  6. N

    Toyota Hillax Pick up, 2012

    Mkuu unaweza kunipa mwanga Volkswagen Amarok pick up naweza kupata kwa bei gani? Nitashukuru Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
  7. N

    Msaada mtambo wa kuchonga barabara

    Poa kiongozi nitajaribu kufuatilia
  8. N

    Msaada mtambo wa kuchonga barabara

    nashukuru nitawatafuta mkuu
  9. N

    Msaada mtambo wa kuchonga barabara

    Nina kampuni ya ujenzi natafuta mtambo wa kuchonga barabara (motor grader 140G) kwa mkopo wa riba nafuu. Nipo Morogoro. Mwenye msaada nitashukuru
  10. N

    Je, ndoa hii nani mkosaji?

    Pole sana ndugu. Tatizo ulilolipata lingeweza kumpata mwanaume yeyote. Kosa kubwa ulilolifanya ni kuignore dalili za mvua na sasa imekunyeshea. Unataka nn tena? Mwanamke anayetaka kushindana na wewe sio mke. Hata maandiko matakatifu yanasema hivyo. USHAURI WANGU:- 1. Kimbia haraka kwenye hiyo...
  11. N

    Spain ni nchi nzuri kwa kufanya biashara

    Sasa swali umeulizwa wewe mkuu? Kwani ni lazima kucomment? Inaelekea hujui hata majukumu ya ofisi za ubalozi. Nyie ndo wale wale!!
  12. N

    Spain ni nchi nzuri kwa kufanya biashara

    Safi sana. Natafuta mitambo ya ujenzi wa barabara je kati ya Spain na China wapi ni more appropriate kuipata kwa urahisi na bei nzuri?
  13. N

    Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

    Ha Ha has. Au unatafuta CV ya Gwajima ili akaombewe kanisani kwake? Atubu kwanza!!
  14. N

    Msaada: Kadi ya gari BMW X5 inahitajika

    U r right brother.... Hapo nakuelewa.
Back
Top Bottom