Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Aiseeeee
Miss youSijaona tatizo hapo
Miss u mingimingi my kiben ten[emoji7]Miss you
Kumbe wanafunyinyi.endelezeni utoto wenuNdugu wanajamvi jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya mpenzi chá rafiki yangu alimaarufu senzo majeshi mnyamwenga.
Mpenzi wake senzo alisafr kwenda mwanza kufanya kumsalimia dada yake.
Akiwa jijini mwanza jana alifanya birth dy akiwa na mtoto wa uncle wake na pia alimualika jamaa mmoja huwa wanasoma nae chuo kwa maelezo ya huyo binti anavyodai.
Wakuuuu mzeee senzo alitumiwa hizo pichá na huyo bidada za birthdy pia yule dada aliweka wassup status akiwa anamlisha keki yule jamaaa kuwa Naomba nimnukuuu""I cant explain how this people make me feel happy. Mzeee senzo anaishi sinza madukani jana mafuriko yalimkuta akawa cm hainachaji asubuhi anaaamka anaona kitu hicho alichomuambia futa hio wassup status yule dada aliifuta.
Ndugu zangu huyu dada yy anawivu sana senzo anasoma masters udsm hana kazi kazi yake kuu kubet lakini anakimbiza mjini kama anafanya TRA na masters anajisomesha senzo akipiga picha na mdada yyte macho huyo bimkubwa ataongea siku nzima
jana yy anajitetea nasoma nae Tu senzo akasisitiza futa.
Naombeni mawazo wana jf senzo amfanyaje kwa zarau aliyomuinyeshea karbuni
Siku ingine uandike hivyo..Miss u mingimingi my hubby[emoji7]
[emoji23] [emoji23] viben ten bwana kwa kupenda kujitutumua haya sawaSiku ingine uandike hivyo..
Hahahahaaaaa we jama umenichekesha saanaaSenzo umetombewa
Haha... Huku vinahema[emoji23] [emoji23] viben ten bwana kwa kupenda kujitutumua haya sawa
Mkuu Mimi nimejitahd kurudia kichwa cha habar hata sijaelewa yanNimejaribu kurefresh page nione kama nitaelewa ila sijaambulia chochote..