Je, ndoa hii nani mkosaji?

Je, ndoa hii nani mkosaji?

Minishasemaga na kuambia mke wang siku ataona amecoka kuwa na mimi basi anisaliti apo ndoa itakua imefkia mwisho wake ,,kisha kaniuliza je wew napo vip ukifkia kunisaliti ??nikamjibu kibusara nakumwambia ma amuzi niyako apo unajua kilicomo moyoni mwako ila bora nimekwambia mie ,,,kiufup mkuu ndoa kama hio sio ndoa tena mwanamk anakusaliti na bado unakoma nae towa nduki mkuu start your life mkuu,,,
 
Mkuu yawezekana lakn,yule dada tuliachana nilimuomba msamaha.
Msamaha kama ungetimiza ahadi yenu ungekubalika lakin ukaoa kabisa mwingine no! Nahuyo atakutesa mpaka mwisho nakupa tahadhali huyo uliyenaye ipo siku atakwambia sikutaki nipe talaka omba tu Mungu mkuu
 
Kwa kweli mimi ndoa ya aina hiyo dakika tana nyingi sana.kufumba na kufumbua nyeusi inakuwa nyeupe tayari.
 
Pole sana ndugu. Tatizo ulilolipata lingeweza kumpata mwanaume yeyote. Kosa kubwa ulilolifanya ni kuignore dalili za mvua na sasa imekunyeshea. Unataka nn tena? Mwanamke anayetaka kushindana na wewe sio mke. Hata maandiko matakatifu yanasema hivyo.
USHAURI WANGU:-
1. Kimbia haraka kwenye hiyo ndoa kabla hujachelewa. Akikomaa muache wewe kajipange upya
2. Nenda kamuombe msamaha mchumba wa awali. Kama uliweza kumpata in the first place hushindwi kumshawishi akusamehe. Mtangulize Mungu na tumia hata ndugu au marafiki zake.
3. Jipe muda kabla hujafanya maamuzi mengine ya kuoa. Hii itamfanya kila mmoja wenu kutafakari kama mko tayari kuingia kwenye mahusiano mapya.
Sio rahisi ila ukimtanguliza Mungu hakuna litakaloshindikana.
4. Kila la heri mkuu.
 
Kiukwel sijaisoma baada ya kuivita na kuona ni ndefu,ila kwa kichwa cha mada husika Ndoa iliyokufa au kuzorota wote ni wahusika kwa %mia. Ndoa ni watu wawili so ikifa au kuzorota it means wote mmeshindwa kuwajibika... Nitarud kusoma baadae wacha nilewe kwanza
 
Huyo Mdogo wake unayeishi naye ni wa Jinsia gani?
 
Hayo ni machozi ya mpenzi wako wa kwanza yanakurudia coz kama alikuwa mwaminifu kwako wewe ukaona kutafuta kipozeo ndo dili, wacha yakurudie saivi kwa mkeo uone inavyouma
 
Hayo ni machozi ya mpenzi wako wa kwanza yanakurudia coz kama alikuwa mwaminifu kwako wewe ukaona kutafuta kipozeo ndo dili, wacha yakurudie saivi kwa mkeo uone inavyouma
mkuki kwa nguruwe, kama alikuwa mwaminifu lazima machozi yamrudiye miaka 7 halafu uachwe duu malipo hapahapa.
 
Binafsi nimeona wengi wa tabia hiyo wanaume na wanawake na huwa ni msiba kwa wenza umri ulio nao ndio umri sahihi wa kuoa kwa mwanaume nakushauri sogea kidogo jipe likizo ya miaka miwili au mmoja pekee panga maisha kisha oa ila kwa bahati nzuri wote tunao ingia nao kwenye mahusiano huwa tumeshaona alama mbaya ila tunazipuuzia lakini mwisho ndio kama hivyo
 
Mkuu mchumba sikumwacha maksudi,nilipompa mimba huyu mwanamke sikuona sababu ya kumtelekeza,nimelelewa maisha mabaya saana sikutaka kumtesa mtu,by the way nimekuja kuombe ushauri hujamaliza na conclusion nn nifanye.
Mkuu....mimba siyo ticket ya ndoa..... Nakumbuka siku moja nipo CAIRO. ...transit nakwenda TURKY..nilikutana na NIGERIAN mmoja...mimi natokea NAIROBI... Na yeye akitokea ABUJA ..wote tuna conect to INSTANBUL jamaa akaniuliza unakwenda turky.. Halafu utaenda Greece?nikamwambiya ndy ... akasema hata yeye pia ana malengo hayo....baadae ataenda either ITALY AU GERMAN.akifika GREECE.... pia akanambiya UMEOA?nikamwambiya sijaoa ila nina mtoto 1... tht was 2012..iam talking about.. jamaa akasema ana watoto 5 na kila mtoto na mama yake....akaniuliza....ukirudi UTAMUOA MAMA MTOTO WAKO?nikamwambiya kwa sasa sina mahusiano nae...tumeachana muda tu....yeye akanambiya akirudi ataangalia ktk wana wale wake 5"""ataangalia yupi MWANAMKE aliyezaa nae anafaa kuwa mke...kama hawana VIGEZO..HAWAFAI KUWA MKE..atatafuta kwengine...mimi nikamuuliza wanawake 5 ni wengi sana lazima upate 1 kati yao UOE. Sababu ya watoto..AKANAMBIYA KUZAA NA MWANAMKE SIO SABABU YA KUMUOA... akaniuliza.. kwenu TANZANIA kuna VICHAA WANAWAKE? nikamjibu ndio..wengi tu...akasema umeshawahi kuwaona PREGNANT? nikajibu ndy...akasema waliowapa MIMBA hao VICHAA sio vichaa wenzao....ni mwanaume. wenye akili timamu kabisa kama mimi na ww...NIKAONA POINTS TUPU ANAONGEA HUYU JAMAA......sasa inamaana KICHAA Akizaa na yule MWANAUME aliyempa mimba amchukuwe KICHAA AOE? Au aishi nae?nikamwambiya no...haiwezekani..basi akasema wanawake wengine hata ukizaa nao...sio ticket ya KUOA...WENGINE NI MACHIZI FRESH.. .ndy kama wewe mkuu..tangia mwanzo hukustahili kumwoa huyo mwanamke.... Ulimchukulia wa kawaida tangia mnaanza mahusiano kwa maelezo yako mwenyewe. .. Na wala halikuwa chaguo lako..ulifanya kosa kubwa kuoa...POLE SANA..
 
yani kukujibu tu nani ni mksojai naon akama haitoshi yani.ila pole sana halaf inabidi ufanye maamuzi yakiume
 
Makosa ni yako toka mwanzo kwa kumuacha mkeo halisi yule uliyemuahidi kumuoa na ukamtosa, sasa kinachoendelea ni laana ya chozi lake.
Ushauri. Inakubidi uivunje tu hiyo ndoa hamna jinsi.
 
Mmmmmh sijui nishauri nn ila kosa ulilifanya kumwacha mwnamke uliyekaa nae miaka 7 afu umeingia kwenye mahusiano na binti mwingine afu ukauona mwenendo wake ukarndlaea nae, Fanya maamuzi mwenyew
 
Back
Top Bottom