Mkuu, wewe umepiga mulemule penyewe; Wazanzibari hao uliowasema ndio ambao hawautaki muungano, na sababu kubwa ni za kidini tu, ingawa wengi hawasemi wazi lakini huo ndio ukweli.
Nchi hii bado haijampata mtu jasiri kama Nyerere wa kulisema hili kwa uwazi, wengi wanalizungumza ku-"save" tu face...
Kama sio kweli hufanyi hayo yanayomkera mumeo muulize huyo mdogo wako maana yawezekana mumeo anaweweseka tu, lakini kama ni kweli unarusha roho na wateja wako, basi jirekebishe, acha kulaumu watu!
Kaandika utafikiri muungwana, kumbe pimbi tu mwenye njaa na pesa za mafisadi! Hizi buku saba saba za mtaa wa Lumumba zitawafanya mapimbi sana! Nyumbu mwenyewe!
Hivi kumbe hata azimio la arusha nalo lilikuwa ni kero kwako? Haya basi, muungano nao ni kero ya mwisho kwako; serikali 3 ni ubinafsi tu uliokomaa, kama bado tunautaka muungano ni bora tume ingelijikita kuhoji wananchi ni kwa nini sasa tusiende kwenye serikali moja. Ujinga wa sasa wa serikali...
Mwekundu, huo sio ugonjwa ni matamanio ya kawaida tu na hasa katika umri mdogo ambapo kupata wa kutuliza naye nafsi mara nyingi ni mtihani.
Jitahidi kui control tu hiyo hali, na kama muda umefika, basi pata wako ambaye mchana kutwa na usiku kucha atashinda kaanika chupi hizi geto kwenu, mwisho...
Hiyo ndio aina ya mapenzi yenu, endeleeni kuifuata nyota ya kijani!
Nafikiri anasubiri muda muafaka, huenda anao wengine wa kuchezea, wewe anakuandaa kuwa mwandani wake; acha ukicheche wako ili ujipatie mume huyo!
Kuna jamaa mmoja aliwahi kuwapa mpaka chabo washikaji wake akifikiri ni demu wa kupita tu, du lakini leo hii demu huyo ndio mke wake kipenzi, mama ya watoto wake!
Utu wema na uungwana ndio silaha bora maishani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.