CHADEMA muheza kumekucha ripoti hii hapa

CHADEMA muheza kumekucha ripoti hii hapa

Mungu saidia chama cha wananchi wataka mabadiliko ya ukweri
 
safi sana , kama kuna namna yoyote ya kuchangia cash ili kuwezesha hayo mapambano tujulishe .
 
Ni Chadema asili au Chadema.....? Mabango yanaruhusiwa?
 
chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA)wilaya ya muheza tunapenda kutoa taarifa kwa makamanda wote kuwa leo tuna mkutano mkubwa wa kujenga chama utakao fanyika kata ya tingeni kuanzia saa 8 mchana,ambapo kuanzia asubuhi leo viongozi wa chadema ni msingi wamesimamia zoezi vyema,watakao unguruma leo ni katibu wa mkoa ndugu jonathan baweje,katibu wilaya lukindo mohamed,m/k wilaya mathius karuasha,m/k wa m4c (w) riziki magembe,kamanda wa wanawake(w) grace mbago na salehe mbwego mjumbe kamati ya utendaji,vivaaaa chadema muheza

Kila la kheri makamanda na mungu amitangulie!
 
Hvyo hvyo makamanda,wakati CCM wako busy kutafuta sumu ya kutumaliza, ss tuendelee na mapambano mpaka kieleweke.....Kila la heri huko makamanda!
 
Live mkutano wa chadema muheza muda huu,makamanda wanapiga jukwaani wananchi wanaimba kwa pamoja chadema,chadema....!..people's powerrr...!
 
Nyimbo ya chama inapiga,kwa mbali naona viongozi wanawasili ktk eneo la mkutano,katibu wa wilaya,katibu wa team ya chadema ni msingi,m/k wa cdm ni msingi ndio wanapamba jukwaani,wananchi wana shangilia makamandaaa!..makamandaaa!...people's power!....,nitaendelea kuwaletea yote yanayojiri hapa kwa ukaribu sana by riziki magembe
 
jamani chadema funguweni acount ya wanachadema wanje ya nchi ili nasisi tuchangie ukombozi wa kukomboa watanzania kutoko mikononi mwa wakoloni weusi ccm
 
Nyimbo ya chama inapiga,kwa mbali naona viongozi wanawasili ktk eneo la mkutano,katibu wa wilaya,katibu wa team ya chadema ni msingi,m/k wa cdm ni msingi ndio wanapamba jukwaani,wananchi wana shangilia makamandaaa!..makamandaaa!...people's power!....,nitaendelea kuwaletea yote yanayojiri hapa kwa ukaribu sana by riziki magembe

Mkutano unaratibiwa na CHADEMA ipi? CHADEMA FAMILY (CHUMBANI) au CHADEMA HALISI ?
 
Live mkutano wa chadema
muheza muda huu,makamanda wanapiga jukwaani wananchi wanaimba kwa pamoja
chadema,chadema....!..people's powerrr...!

Majin-ccm-) yakisikia huo wimbo wa ukombozi yanaruka ruka na kukimbia utasikia....puu..ta.ta.ta ...puu...uwiiiii..pigeni sawasawa hayoo
 
Good, tunawatakia kila la kheri. Wambieni CDM ni ya watanzania. Anayethubuti kutusaliti ataadabishwa, tunaunganisha nguvu kuelekea 2015.

Acha uongo CDM ni ya Mbowe na Slaa, wengine wasindikizaji tu. Kwa sababu mmevurugwa hamtokubali na mtaanza matusi yenu kama kawaida yenu. I like CDM but I hate Mbowe na Slaa.
 
Ccm tanga wameua viwanda vyote sasa tumeamua kutoka na chadema
 
Back
Top Bottom