Recent content by nyogolenga

  1. nyogolenga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naomba nikupe the real example ilinitokea mm ni mfanyakazi tayar wa taasisi ya government zilitoka nafasi za kazi kupitia utumishi nikaomba kwa kufwata taratibu zote za utumishi yani kupitisha barua kwa mwajiri wangu nilipambana sana tena sana ikasainiwa nikasema hapa nimemaliza kazi...
  2. nyogolenga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    0739160350 piga iyo me zaidi ya mara mbili zote wamepokea
  3. nyogolenga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Habari wadau . Samahani naomba kuuliza niliomba nafasi za kazi ila yalipotoka majina ya candidates waliochaguliwa kufanya interview , me sijachaguliwa sababu ni kwamba vyeti vyangu avija gongwa mhuri wa mwanasheria , nikaingia kwenye account yangu ya ajiraport kuangalia vyeti vyangu vyote...
  4. nyogolenga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    All the best
  5. nyogolenga

    JamiiForums Tanzania Examination Officer written interview

    Iyo
  6. nyogolenga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ichi kitu ni kweli kabisa sehemu nayo fanya kaza wameletwa wadau kama 7 kutoka shirika ambalo lilivunjwa
  7. nyogolenga

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    1. kila kitu kinawezekana ni swala la muda tuu 2. Mungu ni mwema Kila wakati 3. Mwanamke ndo mwenyewe uwezo wa kuamua kubeba mimba au kutokubeba mimba (ata ukiwa smart vipi ili jambo wanaume wengi wamepigwa na kitu kizito kichwani ) 4. Mafanikio yapo ndani ya ukimya au Siri ( mipango ya...
  8. nyogolenga

    JamiiForums Tanzania Barua za kuthibitishwa zinachelewa kutoka

    Yea anything can happen
  9. nyogolenga

    JamiiForums Tanzania Barua za kuthibitishwa zinachelewa kutoka

    Kuhusu barua ya kuthibitishwa niswala la muda lazima upewe , ila kuhusu kuhama kwenda taasisi nyingine manager your expectations coz unaweza pewa iyo barua na bado boss wako akasema ayupo Tayar kukuacha kwa sasa kwenda taasisi nyingine , jambo.la msingi try kuwa vzr na boss wako kuliko kutumia...
  10. nyogolenga

    JamiiForums Tanzania Yapi yanaweza kuwa maswali ya usaili wa nafasi ya Examination Officer NECTA?

    Pita nayo iyoo , all the best mkuu
  11. nyogolenga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Now days ata ukipokea mshahara wa mwezi mmoja tuu ww tayar upo kwenye system ata ukienda taasisi Gani kwenye system itaonesha tayar umeshapata check no . Labda boss wako afanye wepesi kukuachia tuu ila ilo lakuacha kazi kwa masaa 24 asifanye icho kitu kabc ni hatar sana coz system ya ajira ni...
  12. nyogolenga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu labda nikwambie tuu kama Kuna issues ulikuwa unafanya kipindi cha nyuma hapo zidi kuifanya kwa sasa kama ipo , coz iyo sehemu uliyopata kazi kunawatu walipeleka barua mwezi wa pili wakaitwa kuaza kazi mwezi wa 8 , najua umevumilia mpaka umechoka ila chukua iyo sample niliyokupa , mungu...
  13. nyogolenga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Labda kama awakuita kada zote ila me najua watu walishachukua barua tayar na kupeleka TRC , wanangoja kupigiwa cm Ili kwenda kuaza kazi
Back
Top Bottom