Yapi yanaweza kuwa maswali ya usaili wa nafasi ya Examination Officer NECTA?

Nimeitwa interview mbili Examination officer na Registration officer zote zinafanyika muda mmoja bado sijajua nifanye ipi, niache ipi.
 
Swali lolote utakalo ulizwa point ni hizi hapa mkuu
Land Alienation
Forced Labour
Taxation
Low Wages
Long Working Hours

Kila la kheri ila Usikubali kuyumbishwa.
 
Wakuu nimeitwa kwenye usaili wa Examination officer(written) hapo Dodoma (2/10/2023). Naomba kujuzwa maswali yanayoweza kuulizwa kwenye hiyo paper kutoka kwa wazoefu mliowahi kufanya hizo interview.
Hapo komaa mwenyew
 
Wakuu nimeitwa kwenye usaili wa Examination officer(written) hapo Dodoma (2/10/2023). Naomba kujuzwa maswali yanayoweza kuulizwa kwenye hiyo paper kutoka kwa wazoefu mliowahi kufanya hizo interview.
Ningependa kukushauri jambo moja, pitia job descriptions za lile tangazo la kazi lililotolewa. Then usome kwa kina kila job description. Nakuhakikishia utakuwa umejiandaa na usahili kwa sehemu kubwa.
 
Kila la heri Mungu akutangulie na mtumainie atakupigania, nilikuwa kama wewe mapema mwaka huu katika usaili mgumu (tofauti na yako) ambao nilikutana na watu waliokuwa wanajitolea kwenye taasisi husika, nilimwomba Mungu nikaingia, ila yeye si Athumani

Miezi kadhaa baadae Mkeka ukatoka na Jina langu, cha msingi pitia job description halafu pitia madesa yako vizuri, utatoboa!

Usisahau kuelezea uzoefu wako unaohusiana na kazi unayoomba, hii ni muhimu sana huwa hawapitii CV ni muhimu kueleza kwa mdomo wako mwenyewe usiassume wamepitia CV yangu wananijua!!!
 
Kila la heri Mungu akutangulie na mtumainie atakupigania, nilikuwa kama wewe mapema mwezi huu katika usaili mgumu (tofauti na yako) ambao nilikutana na watu waliokuwa wanajitolea kwenye taasisi husika, nilimwomba Mungu nikaingia, ila yeye si Athumani

Miezi kadhaa baadae Mkeka ukatoka na Jina langu, cha msingi pitia job description halafu pitia madesa yako vizuri, utatoboa!

Usisahau kuelezea uzoefu wako unaohusiana na kazi unayoomba, hii ni muhimu sana huwa hawapitii CV ni muhimu kueleza kwa mdomo wako mwenyewe usiassume wamepitia CV yangu wananijua!!!
Asante sana kiongoz kwa kunitia moyo, Hayo maneno yatawapa ujasiri na wengine wengi sio mimi tuuu.
 
Wakuu nimeitwa kwenye usaili wa Examination officer(written) hapo Dodoma (2/10/2023). Naomba kujuzwa maswali yanayoweza kuulizwa kwenye hiyo paper kutoka kwa wazoefu mliowahi kufanya hizo interview.
Pita nayo iyoo , all the best mkuu
Screenshot_20230928-064722.jpg
 
Back
Top Bottom