HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mbaga Jr lete report matokeo ya TBC tayari uko
 

Attachments

  • IMG-20241108-WA0001.jpg
    IMG-20241108-WA0001.jpg
    29 KB · Views: 31
Hivi hizi vacancies wanazotangaza kila siku interview zake watamaliza kweli maana naona kama jamaa wamezidiwa hivi
 
Naomba kuuliza,nawezaje kupata card namba ya bima ya NHIF mana kadi nimeisahau mahali halafu nahitaji huduma ya haraka
 
Back
Top Bottom