HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu Msaada tutani
Kuna post za chuo kikuu cha kilimo Sokoine (SUA) zimetangazwa jana lakini kule ajira portal tunashindwa kuomba sababu zinaandika post closed 194 days ago.
 
WAKUU NAWEZA KUANZA KUSOMA KIPINDI HIKI KUJIANDAA NA INTERVIEW AMBAYO SIJUI WATAITA LINI??
Naomba nikupe the real example ilinitokea mm ni mfanyakazi tayar wa taasisi ya government zilitoka nafasi za kazi kupitia utumishi nikaomba kwa kufwata taratibu zote za utumishi yani kupitisha barua kwa mwajiri wangu nilipambana sana tena sana ikasainiwa nikasema hapa nimemaliza kazi nikafanya application ya iyo post then kesho yake nikaaza kusoma vzr kbc ikapita kama miezi mitatu nasoma tuu . Bwana wakaita interview kuangalia jina langu sipo sababu ni kwamba vyeti sijavisain kwa wakili but ni one year before nimetumia vyeti ivi ivi kupata kazin tena kupitia utumishi ,ni kapiga cm utumishi kuhusu iyo shida wakasema kila kitu kipo sawa ningoje majina ya nyongeza nitaona jina langu . But sikupata nafasi iyo ya kuitwa to be honest nilikuwa too dispointed (sikwenda kazini two weeks ) stress juu ya strees all in all manager your expectations
 
Msaada tutani !!
Nilifanya interview chuo X mwaka huu, nikafika oral (Placement ilishafanyika) hivyo nina selected for oral moja. Leo hii imeongezeka selected for oral nyingine chuo hichohicho post nyingine ambayo nilitwaga interview ila sikwenda hii inakuwaje?
 
Kwhy nayo imeendikwa selected for oral
 
Naomba nikupe the real example ilinitokea mm ni mfanyakazi tayar wa taasisi ya government zilitoka nafasi za kazi kupitia utumishi nikaomba kwa kufwata taratibu zote za utumishi yani kupitisha barua kwa mwajiri wangu nilipambana sana tena sana ikasainiwa nikasema hapa nimemaliza kazi nikafanya application ya iyo post then kesho yake nikaaza kusoma vzr kbc ikapita kama miezi mitatu nasoma tuu . Bwana wakaita interview kuangalia jina langu sipo sababu ni kwamba vyeti sijavisain kwa wakili but ni one year before nimetumia vyeti ivi ivi kupata kazin tena kupitia utumishi ,ni kapiga cm utumishi kuhusu iyo shida wakasema kila kitu kipo sawa ningoje majina ya nyongeza nitaona jina langu . But sikupata nafasi iyo ya kuitwa to be honest nilikuwa too dispointed (sikwenda kazini two weeks ) stress juu ya strees all in all manager your expectations
mimi sipo utumishi mkuu ila mara 4 nimehudhuria writtern zote nimeitwa na kumbuka kufata vigezo na mashart ya TANGAZO mkuu but naona kama itachelewa sana kuitwa ndio hofu ukasoma mpaka ukachoka
 
Back
Top Bottom